Radio Tadio

Afya

19 January 2024, 10:47 am

Millioni 201 zajenga kituo cha afya Kinyala

Na Mwandishi wetu Katika kuhakikisha sera ya afya ya kuwa na kituo cha afya kila kata halmashauri ya wilaya ya Rungwe imetekeleza kwa vitendo sera hiyo wa kujenga vituo vya afya katika kata mbalimbali ndani ya halmashauri yake. Kwa mujibu…

18 January 2024, 8:56 am

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa kipindupindu

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa Kipindupindu endapo mtu atabainika kuwa na ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan.Tukiwa katika muendelezo wa kupata elimu juu ya ugonjwa wa kipindupindu na leo tunafahamu madhara ya ugonjwa huo endapo mtu akibainika kuwa na kipindupindu. Afisa…

18 January 2024, 12:50 am

Wananchi Katavi wanaelewa nini kuhusu ugonjwa wa macho mekundu?

Picha na Mtandao Ugonjwa huo unawapata watu wa rika zote hivyo jamii inapaswa kupata Matibabu mapema iwezekanavyo mara tu watakapoona viashiria vya Ugonjwa huo. Na Gladness Richard-Katavi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameeleza namna wanavyoufahamu Ugonjwa wa Macho…

17 January 2024, 8:50 am

Mambo ya kuzingatia kuepuka kipindupindu

Jamii imekumbushwa kuendelea kunawa na maji tiririka pindi wanapotoka maliwato ili kujilinda na kujikinga na maradhi hayo. Na Yussuph Hassan.Ikiwa tunaendelea kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu, Jamii imesisitizwa kuhakikisha wanajenga na kutumia Vyoo bora ili kupekuna na ugonjwa wa…

15 January 2024, 8:28 pm

Jiji la Dodoma laendeleza jitihada za kupambana na udumavu

Tafiti hizi zinafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu sura 351 ambayo inaipa mamlaka ya Kisheria ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kufanya tafiti mbalimbali za Kitakwimu. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na tatizo la udumavu…