Radio Tadio

Afya

23/01/2023, 11:47

Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu

Na; Victor Chigwada.                                    Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…

20 Januari 2023, 3:53 mu

Wananchi Kabungu Wadai Mkunga wa Kike

TANGANYIKABaadhi ya wananchi wa kijiji cha Kabungu kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani katavi wameiomba Serikali kuwaletea mkunga wa kike kwenye zahanati ya kijijini hapo.Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wameipongeza zahanati hiyo kwa huduma wanazozitoa huku wakiomba waongezewe…

20 Januari 2023, 3:18 mu

Katavi Bila Malaria Inawezekana

MPANDA Ili kujikinga na ugonjwa wa Malaria wananchi manispaa ya mpanda mkoani katavi wameshauriwa kutokomeza maeneo yote ambayo yanaweza kuwa ni chanzo cha mazalia ya mbu sambamba na kutumia chandarua wakati wa kulala. Ushauri huo umetolewa na mganga mkuu manispaa…

12/01/2023, 14:22

Jamii na dhana ya kubemenda mtoto

Na; Mariam kasawa Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa. Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na…

03/01/2023, 09:02

Paka wa ajabu aleta taharuki kwa kufanya shambulio.

Na Kale Chongela: Watu watatu akiwemo mtoto mwenye umri wa miaka (5) wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na paka wa ajabu majira ya alfajiri katika Kitongoji cha kilimahewa Kata ya Lulembela wilayani  mbogwe Mkoani Geita. Tukio hilo limezua taharuki kwa…