Afya
21 November 2022, 15:50 pm
Mil.27.8 za Mapato ya ndani zatumika kutekeleza Afua za Lishe Mtwara Manispaa.
Na Gregory Millanzi. Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imetumia shilingi milioni ishirini na saba na laki nane (27,800,000) kutoka katika mapato yake ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za afua za lishe kwa Watoto wenye umri chini ya…
17 November 2022, 16:52 pm
WAJAWAZITO LIKOMBE WAENDELEA KUONWA, WAPOKEA VIFAA VYA KUJIFUNGULIA KUTOKA PLATI…
Na Gregory Millanzi Kampuni ya Utoaji wa mikopo ya Platinum Novemba 10,2022 imekabidhi vifaa tiba vya kujifungulia vyenye thamani ya shilingi milioni sita( 6,000,000) kwa Kituo cha afya cha Likombe kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ili kusaidia kutatua…
17 November 2022, 5:40 am
Iringa Yafanikiwa kuhamasisha wananchi wake kuwa na vyoo bora kwa asilimia 89.5
Mkoa wa iringa umefanikiwa kuhamasisha wananchi wake kuwa na vyoo bora kwa Asilimia 89.5 kati ya kaya 252,301. Hayo yamezungumzwa na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa iringa Dr. Credianius Mgimba katika Maadhimisho ya Wiki ya usafi wa mazingira na…
17 November 2022, 5:31 am
Asilimia 70 Ya Magonjwa Ya Milipuko Yanatokana Na Uchafu
Imeelezwa kuwa udhibiti wa usafi binafsi na wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia 70 ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Beatrice Mutayoba mara baada ya kufanya usafi…
11 November 2022, 5:13 am
Idadi Watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha
Takwimu zinaonesha kuwa, watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi…
3 November 2022, 5:29 am
Wananchi wilaya ya Tanganyika Wajitokeza Kupata Chanjo ya Uviko-19
KATAVI Baadhi ya wananchi wa Luhafe wilayani Tanganyika wamejitokeza kupata chanjo ya uviko 19 kijijini hapo, inayoratibiwa na taasisi ya Benjamini Mkapa. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wananchi waliopata chanjo ya Uviko 19, wameishukuru serikali pamoja na wadau kwa…
2 November 2022, 13:17 pm
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara yafanya tathimini
Na Gregory Millanzi Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya Mtwara jana Novemba 1, 2022 imefanya kikao cha tathmini na Mkataba wa Lishe wa Kata na Vijiji. Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Bi. Magreth Tingo amewasilisha taarifa ya…
29 October 2022, 6:23 pm
Mila Kandamizi Zatajwa kuchangia Vifo vitokanavyo na Uzazi Wilayani Mas…
Imeelezwa kuwa Mila kandamizi kwa baadhi ya Jamii ikiwemo kabila la Wasukuma zinachangia vifo vitokanavyo na Uzazi kwa Wanaume Kushindwa kushiriki na Wenza wao kikamilifu katika Huduma ya Afya ya Uzazi. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali …
23 October 2022, 9:40 am
Wananchi 112,669 Iringa Wamepata Chanjo Ya Uviko 19
JUMLA ya wananchi 112,669 wamepata chanjo ya UVIKO 19 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo ni sawa asilimia 91ya walengwa ambao ni 123,418 kwa lengo kulinda afya za wananchi wasipatwe na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza wakati wa…
21 October 2022, 11:10 am
Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko
MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…