Radio Tadio

Afya

10/08/2023, 13:37

TMDA yaanzisha mfumo wa ufuatiliaji wa usalama wa dawa

Pamoja na hayo TMDA imesisitiza Wagonjwa na jamii kutoa taarifa mapema kwenye hospitali ,kituo cha afya,zahanati au duka la dawa ambapo matibabu yalitolewa ambapo utoaji wa taarifa za madhara ya dawa ni jukumu la kila mmoja ili kusaidia kuboresha sekta…

10/08/2023, 12:45

Jamii yatakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa

Kwa Mujibu wa Mtaalamu Teobad Abdon ameeleza kuwa matumizi holela ya dawa husababisha madhara katika mwili wa binadamu ikiwemo matumizi ya dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Na Diana Massae.                                                                                       Jamii imetakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa bila…

07/08/2023, 13:28

Utandawazi, mitindo ya maisha vyatajwa kuathiri unyonyeshaji

Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yamezinduliwa Agosti Mosi mwaka huu na kilele chake ni Agosti 08. Na Mariam Msagati. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameelezea kuwepo kwa sababu mbalimbali zinazochangia baadhi yao kushindwa kunyonyesha watoto ipasavyo. Wakizungumza na Dodoma TV…

05/08/2023, 19:54

Wanawake kujifungulia barabarani ndio basi tena Mbogwe

Changamoto ya wanawake kujifungulia majumbani na barabarani huenda ikamalizika katika kata ya Ilolangulu wilayani Mbogwe baada ya serikali kujenga wodi. Na Mrisho Sadick: Wanawake wa kata za Ilolangulu , Isebya na Ikobe wilayani Mbogwe mkoani Geita wameondokana na adha ya…

Agosti 4, 2023, 3:39 um

Afariki, mwingine hoi kwa dawa za nguvu za kiume Kahama

Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Hosam Elias mkazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula Mjini Kahama amefariki dunia huku mwenzake (jina limehifadhiwa) akinusurika kufa baada ya  kunywa dawa zilizodaiwa kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la…

03/08/2023, 16:28

Wahandisi Geita mji watakiwa kusimamia miradi

Katika kukabiliana na changamoto ya huduma za afya katika Kata ya Nyankumbu, serikali kupitia Halmashauri ya mji wa Geita imefanya upanuzi kwa kuongeza majengo nakununua Gari la kubebea wagonjwa. Na Mrisho Sadick: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa…

Julai 25, 2023, 1:59 um

John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali

Mwanaume  huyu anayejulikana kwa jina la  John Gabriel  Mandale mkazi wa kata  ya Shunu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia  matatizo makubwa baada ya  kupata ajali  na kupasuka  kichwa   alipokuwa akitekeleza  majukumu yake ya kikazi huko  mkoani Geita Mgodini  hali…