Tumbatu FM

Recent posts

2 October 2024, 10:15 am

Kikobweni yakabiliwa na changamoto mbalimbali

Picha ya Mbunge wa Jimbo la Donge Juma Usonge (aliyevaa koti jeusi na kofia) akiwa katika mkutano wa kusikiliza kero za wananchi wa shehia ya Kikobweni. Na Latifa Ali. “Viongozi wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wao…

2 October 2024, 9:58 am

Hotuba ya Rais wa Zazibar katika sherehe ya maulid kisiwani Tumbatu

Na Mtumwa Mussa. “Ili taifa liweze kupiga hatua za kimaendeleo lazima wananchi wake wadumishe amani na utulivu kwani ndio ngao pekee ya kufikia hatua hiyo” ni kauli ya rais wa zanzibar dokta Hussein Ali Mwinyi wakati akiwahutubia wananchi wa Tumbatu…

2 October 2024, 8:36 am

Tujifunzeni lugha ya alama tuwasaidie watu wenye uziwi

Na Vuai Juma. “Upo umuhimu mkubwa wa kujifnza lugha ya alama ambayo ndio kiunganishi kikubwa kwa watu wenye ulemavu wa uziwi”. Na Vuai Juma. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Harusi Said Suleiman,  amesema serikali ya…

13 July 2024, 8:19 am

Tutetee haki za watoto tuwalinde na ukiukwaji wa haki za binadamu

Ni wajibu wa jamii kuwapa watoto haki zao kwa maendeleo ya baadaye. Na Abdul Sakaza. Msimamizi Mkuu Kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) hapa Zanzibar Bi. Laxmi, amewataka vijana Zanzibar kuendelea kutetea haki za watoto ili…

13 July 2024, 7:48 am

Tumieni michezo kupinga vitendo vya udhalilishaji

Jamii inapaswa kuitumia michezo kama njia ya kupinga udhalilishaji. Na Abdul Sakaza. Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia Zanzibar wametakiwa kuitumia michezo mbalimbali katika kupinga vitendo hivyo ndani ya jamii zao. Ameyasema hayo huko uwanja wa michezo Mau…

8 July 2024, 9:29 am

Sakaza: Changamoto za wakulima lazima zitatuliwe

Iwapo serikali itatatua changamoto zinazowakumba wakulima kutawawezesha kuvuna mazao mengi zaidi. Na Abdul Sakaza. Mbunge Wa Jimbo La Chaani Mhe. Juma Usonge ameishauri Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Waskazini Unguja kutatua changamoto za wakulima wa bonde la Mpunga Kibokwa…

5 July 2024, 4:58 pm

Wananchi fuateni misingi ya dini

Iwapo wananchi wataweka mbele imani ya dini kutapelekea kuondosha uvunjifu wa amani. Na Vuai Juma. Wananchi wa Tanzania wametakiwa kufuata misingi ya dini ili  kuepusha mifarakano ambayo itapelekea uvunjifu wa amani iliyopo. Wito huo umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano…

5 July 2024, 4:32 pm

CCM Kaskazini Unguja yaridhishwa na utekelezaji wa miradi

Kukamilika kwa miradi ya kimkakati katika maeneo mbalimbali kutawasaidia wananchi kupata maendeleo. Na Vuai Juma. Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja imesema imeridhishwa na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilinayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar…

15 June 2024, 12:47 pm

Wafanyabiashara endeleeni kulipa kodi-ZRA

Nimuhim kwa wafanyabiashara kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Na Abdul Sakaza. Mamlaka Ya Mapato Zanzibar (ZRA) imewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kuendelea kulipa kodi ili kuongeza pato la taifa.  Ameyasema hayo Meneja wa Mkoa wa…

14 June 2024, 12:30 pm

Masheha zibeni njia zinazoeneza matendo maovu

Kudhibiti maeneo hatarishi kutapunguza kuenea kwa matukio ya udhalilishaji wa kijinsia. Na Vuai Juma. Masheha wa Wilaya ya Kati wametakiwa kuwatafuta wamiliki wa maboma na nyumba za kukodisha katika Shehia  zao ili kuziba mianya ya  vitendo viovu katika jamii . Mkurugenzi wa…

Tumbatu FM Profile

Swahili

Radio jamii Tumbatu Fm ni chombo cha habari ambacho kimeanzishwa mwaka 2014 chini ya ufadhili wa Shirika la UNESCO Kwaajili ya kuwahudumia wakaazi wa jamii ya mkoa wa kaskazini unguja. Kituo hiki kimesajiliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar kama ni Radio inayosimamia maudhui ya habari za kujamii. Radio hii haifungamani na kulinda maslahi ya mrengo wa chama chochote cha siasa, Dini, Rangi au kabila lililokuwepo katika eneo ambalo radio inasikika.

Dira

Kuwa na jamii inayofuata Tanaduni zinazoelekeza kuwepo kwa ustawi wa elimu, uchumi, amani na Afya.

Dhamira

Radio Jamii Tumbatu inalenga kuifikia jamii kwa kuandaa vipindi vyenye kujenga uelewa wa mambo yatokanayo na jamii katika nyanja ya elimu, uchumi, Utamaduni, Amani, na Afya ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo.

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

English

Tumbatu Community Radio is a media outlet established in 2014 under the auspices of UNESCO to serve the residents of the northern region of Unguja. The station is registered with the Zanzibar Broadcasting Commission as an independent radio station that manages social media content. This radio is not bound to protect the interests of any political party, religion, race or ethnic group present in the area where the radio is heard.

Vision

Having a society that follows Cultures that guide the existence of prosperity, education, economy, peace and health.

Mission

Community Radio Tumbatu aims to reach out to the community by organizing programs that build awareness of social issues in the fields of Education, Economics, Culture, Peace, and health to facilitate access to development.