Recent posts
5 July 2024, 4:32 pm
CCM Kaskazini Unguja yaridhishwa na utekelezaji wa miradi
Kukamilika kwa miradi ya kimkakati katika maeneo mbalimbali kutawasaidia wananchi kupata maendeleo. Na Vuai Juma. Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja imesema imeridhishwa na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilinayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar…
15 June 2024, 12:47 pm
Wafanyabiashara endeleeni kulipa kodi-ZRA
Nimuhim kwa wafanyabiashara kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Na Abdul Sakaza. Mamlaka Ya Mapato Zanzibar (ZRA) imewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kuendelea kulipa kodi ili kuongeza pato la taifa. Ameyasema hayo Meneja wa Mkoa wa…
14 June 2024, 12:30 pm
Masheha zibeni njia zinazoeneza matendo maovu
Kudhibiti maeneo hatarishi kutapunguza kuenea kwa matukio ya udhalilishaji wa kijinsia. Na Vuai Juma. Masheha wa Wilaya ya Kati wametakiwa kuwatafuta wamiliki wa maboma na nyumba za kukodisha katika Shehia zao ili kuziba mianya ya vitendo viovu katika jamii . Mkurugenzi wa…
14 June 2024, 10:04 am
Viongozi kaskazini unguja watakiwa kuwa na mashirikiano
Picha ya wakuu wa taasisi za mkoa wa kaskazini unguja wakiwa pamoja na mkuu wa mkoa huo Rashd Hadid Rashid (aliyeluwepo mbele) katika kikao maalum cha tathmini.. Uwepo na umoja na mshikamano kutwezesha kufanya harakati mbali mbali za kiserekali kwa…
3 December 2023, 1:14 pm
Jumuiya ya Nataraji yatakiwa kujiepusha na masuala ya kisiasa
Picha ya wanachama wa jumuiya ya Nataraji ya kisiwani Tumbatu wakiwa katika mkutano mkuu wa kwanza na uzinduzi wa jumuiya yao. Na Vuai Juma. Kuanzishwa kwa jumuiya ambazo zitaepukana na aina yoyote ya uchochezi kutachangia kupatikana kwa maendeleo ya haraka…
16 November 2023, 4:02 pm
Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika
Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…
16 November 2023, 3:28 pm
TCRA Zanzibar yahimiza matumizi ya leseni kidijitali
Picha ya meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA Zanzibar) Picha na Makame Pandu. “Matumizi sahihi ya hudma za kimtandao yataepusha makoza yanayojitokeza kwa watumiaji.” Na Makme Saplaya. Vijana wa mkoa Kaskazin Unguja wametakiwa kuwa wabunifu katika matumizi ya mitandao…
16 November 2023, 3:13 pm
Miaka 10 ya Tumbatu Fm, wenye ulemavu wathaminiwe
Radio ya jamii Tumbatu inaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo maadhimisho hayo yanaambatana na kufanya matendo ya huruma kwa jamii hasa wenye mahitaji maalum. Na Mwanahawa Hassan. Jamii imetakiwa kuishi vizuri na watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao…
12 November 2023, 12:18 pm
Wakulima Kibokwa watakiwa kupisha uwekezaji
Picha ya waziri wakilimo na umwagiliaji Shamata Shame (aliye nyoosha kidole)akiwa katika kikao na wakulima wa bonde la mpunga kibokwa. Na Abdul – Sakaza. “Ushirikishwaji kati ya serekali na wakulima katika harakati za kimaendeleo kutasaidia kutatua changamoto mbalimbali hasa linapokuja…
12 November 2023, 11:34 am
Wizara ya afya zanzibar yafanya muendelezo wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya…
Picha ya Wazriri wa Afya Zanzibar akizungumza na watendaji wa Hospitali ya Najing ya nchini China kuhusiana na zoezi la uchunguzi WA shingo ya kizazi. Picha na Habari maelezo “Saratani ya shingo ya kizazi ni moja ya ugonjwa hatari sana…