Zahanati
27 November 2023, 4:43 pm
Mahama walalamika fedha za ujenzi wa zahanati hazitoshelezi
Hatua ya Ujenzi wa Mradi huo ni utekelezaji wa Wananchi kushiriki katika utatuaji wa changamoto hasa Afya ambapo Sera ya afya ya Mwaka 2007 inaelekeza kila kijiji kinatakiwa kuwa na Zahanati. Na Victor Chigwada. Licha ya serikali kutoa fedha kwa…
16 November 2023, 12:34 pm
Geita mji yapewa siku 30 kukamilisha Zahanati zote zilizotelekezwa
Kutelekezwa kwa Zahanati zaidi ya tatu katika Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita kumemuibua Mkuu wa Mkoa nakutoa maagizo kwa watendaji wa serikali katika eneo hilo. Na Mrisho Sadick – Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela ametoa…
4 September 2023, 10:46 am
Manga yapata mifuko 100 ya saruji kuendeleza ujenzi wa Zahanati
Ukosefu wa Zahanati katika mtaa wa Manga kwa takribani miaka zaidi ya 10 kumewaibua wananchi na viongozi wa serikali ya mtaa huo. Na Zubeda Handrish- Geita Wakazi wa mtaa wa Manga kata ya Mgusu wilayani na mkoani Geita, wamefunguka adha ya muda…
21 August 2023, 5:58 pm
Mapato ya ndani kukamilisha kituo cha afya Nagulo Bahi
Kituo hicho cha afya kimetumia mapato ya ndani katika ujenzi wake huku wananchi wakichangia milion 6 na Mbunge wa jimbo hilo akichangia milion 6. Na Mindi Joseph. Jumla ya shilingi milion 62 zimetumika katika ujenzi wa kituo cha afya wilayani…
24 July 2023, 2:04 pm
Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana
Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…
11 July 2023, 6:08 pm
Ukosefu wa zahanati Mbelezungu Chamwino wapelekea vifo vya akina mama wajawazito
Sera ya afya ya mwaka 2007 imeweka wazi kuwa kila kijiji kanatakiwa kuwa na zahanati moja ili kuhudumia wananchi wa eneo hilo. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa ukosefu wa Zahanati katika kijiji cha Mbelezungu Wilayani Chamwino ni sababu inayosababisha vifo…
4 July 2023, 3:49 pm
Nollo atatua changamoto ya huduma za afya Mapinduzi Kigwe
Uwepo wa huduma za afya kwenye kila kijiji wilayani Bahi mkoani Dodoma kutawahakikishia wananchi wa wilaya hiyo usalama wa afya zao pindi watakapopatwa na maradhi mbalimbali. Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo ametoa zaidi ya shilling…
July 4, 2023, 11:20 am
Wakazi Kata ya Nyandekwa wahimizwa ushirikiano ujenzi wa zahanati
Wakazi wa Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama wametakiwa kuacha kukwamisha shughuli ya ujenzi wa zahanati kijijini hapo. Na Clement Paschal Wakazi wa kijiji cha Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha kukwamisha shughuli ya ujenzi wa…
11 May 2023, 4:26 pm
Mbunge wa jimbo la Bahi atoa millioni 16 ujenzi wa Zahanati ya Mapinduzi Kigwe
Amesema zahanati hiyo itawaondolea adha wananchi hao ya kufuata huduma za afya kituo cha afya kigwe. Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ametoa Millioni 16 kujenga zahanati ya kijiji cha Mapinduzi kata ya kigwe ikiwa…
6 April 2023, 2:29 pm
Wananchi Nguji kuondokana na tatizo la huduma za afya
Jengo la zahanati ya nguji ni miongozi mwa majengo mapya zaidi ya saba ya kutolea huduma za afya yanayoendelea kujengwa wilayani Bahi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Nguji wilayani Bahi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosa huduma za…