Radio Tadio

Wanawake

29 August 2023, 3:43 pm

Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi

Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…

28 June 2023, 7:01 pm

Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri

Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…

21 June 2023, 13:40 pm

Mila, desturi kikwazo wanawake kuwa viongozi

Mila na tamaduni zinachukua nafasi kubwa katika kuenzi nafasi za wazee katika jamii zetu, wandishi wa habari wana nafasi kubwa ya kupunguza baadhi ya mila zenye kuharibu jamii hasa wanawake. Na Musa Mtepa Wandishi wa habari mkoani Mtwara wameelezea changamoto…

6 March 2023, 9:55 pm

Mwenyekiti U.W.T awasisitiza wanawake Kugombea

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Bi. Mary Pius Chatanda  amewataka wanawake kuhakikisha wanachukua fomu kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Bi Chatanda ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wanawake  Duniani, ambayo yamefanyika wilayani Pangani hapo…