Wanawake
29 August 2023, 3:43 pm
Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi
Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…
4 July 2023, 2:54 pm
Je mfumo dume unawanyima wanawake nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya habari?
Na Groly Kusaga Wanawake wengi wamekuwa wakikutana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika kutekeleza majukumu yao na kusahau kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya mambo makubwa wanapopewa nafasi ndani ya vyombo vya habari na uongozi kwa ujumla.
28 June 2023, 7:01 pm
Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri
Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…
21 June 2023, 13:40 pm
Mila, desturi kikwazo wanawake kuwa viongozi
Mila na tamaduni zinachukua nafasi kubwa katika kuenzi nafasi za wazee katika jamii zetu, wandishi wa habari wana nafasi kubwa ya kupunguza baadhi ya mila zenye kuharibu jamii hasa wanawake. Na Musa Mtepa Wandishi wa habari mkoani Mtwara wameelezea changamoto…
17 March 2023, 2:41 pm
WANAZAWADIA: JUHUDI ZA KIONGOZI MWANAMKE AMINA ZAWAKOMBOA WANAWAKE.
Na Amina Massoud Jabir. WANAKIKUNDI cha ZAWADIA kilichpo changaweni Wilaya ya Mkoani wamepongeza jitihada zinazochukuliwa na kiongozi Amina Abdallah Said kwa kuwashaiwshi kuanzisha ushrika lengo kujikomboa na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi katibu wa mwenyekit hicho Khadija Said…
9 March 2023, 8:38 pm
UZIKWASA yaadhimisha Kipekee Siku ya Wanawake Duniani 2023
Katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya wanawake 2023 yenye kauli mbiu isemayo ‘Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia, chachu katika kuleta usawa wa kijinsia’. Shirika la UZIKWASA kwa mara ya kwanza limetoa nafasi kwa kamati za mazingira kuonyesha…
6 March 2023, 9:55 pm
Mwenyekiti U.W.T awasisitiza wanawake Kugombea
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Bi. Mary Pius Chatanda amewataka wanawake kuhakikisha wanachukua fomu kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Bi Chatanda ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambayo yamefanyika wilayani Pangani hapo…
19 December 2022, 11:27 am
Kipindi: Wanawake na Msimu wa Korosho
Na Grace Hamisi sikiliza makala haya juu ya kinachotokea kwa wanawake mara baada ya msimu wa korosho kuisha. Sikiliza Hapa
25 July 2022, 9:31 am
UKOSEFU WA HUDUMA ZA KIJAMII KIKWAZO KWA WANAWAKE KUWA VIONGOZI.
Ukosefu wa Huduma muhimu za Kijamii ni changamoto inayorejesha nyuma wanawake kufikia fursa katika demokrasia na kujihusisha na harakai za uongozi. Ameyasema hayo Mratibu wa Chama Cha Waandishi Wa habari wanawake Tanzania (Tamwa) afisi ya ya Pemba Fathiya Mussa…
19 July 2022, 1:59 pm
Wanawake watakiwa kutambua nafasi yao katika kuchangia maendeleo ya familia
Na; Victor Chigwada. Afisa maendeleo ya jamii katika Kata ya Msamaro Bi.Ngw’ashi Mhuli ametoa wito kwa wanawake kutambua kuwa wananafasi ya kuchangia maendeleo katika ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa Bi. Mhuli akizungumza na taswira ya habari amesema kuwa…