Radio Tadio

Ushirikiano

18 January 2024, 20:21

Polisi Songwe kuendeleza ushirikiano kwa wananchi

Na Mwandishi wetu Songwe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari ili kuendelea kujiwekea mikakati ya kuifikia jamii kwa kuipatia elimu na kuijengea uelewa kuhusu madhara ya uhalifu. Hayo yalibainishwa wakati wa…

6 November 2023, 15:44

CP. Wakulyamba: Wapeni ushirikiano VGS

Wananchi wametakiwa kuwapa ushirikiano Askari wa Wanyamapori Vijijini (VGS) ili waweze kutekeleza Majukumu yao vizuri ya ulinzi wa Maliasili pamoja na kuwalinda wanavijiji dhidi ya Wanyamapori wakali na waharibifu.  Na Mwandishi wetu, Dodoma Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…

6 September 2023, 3:54 pm

Baraza la Mji Kati laonyesha mfano jinsi ya kutumia tozo

Na Mwandishi wetu. Wananchi wameshauriwa kusimamia maelekezo ya Serikali ikiwemo kudumumisha usafi katika maeneo ya makaazi wanayo ishi. Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani Pemba  Yussuf Kaiza Makame ameyasema hayo katika ziara ya kimafunzo iliyo husisha Madiwani 10, Watendaji 7…