Radio Tadio

uhalifu

13 October 2025, 10:45 am

Wagonjwa wa mtoto wa jicho wapatiwa matibabu Chamwino

Baadhi ya wananchi wamegundulika kuwa na tatizo la mtoto wa jicho, jambo lililosababisha changamoto za kuona kwa baadhi yao. Picha na Mtandao. Kupitia kambi ya huduma za macho, wagonjwa hao wamepatiwa matibabu ikiwemo upasuaji mdogo, hatua iliyowawezesha kurejesha uwezo wao…

28 December 2023, 18:24

Epukeni kutenda uhalifu

Na mwandishi wetu,Songwe Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Thomas Jimbo Kuu la Mbeya wametakiwa kuzishinda dhamiri zao mbaya ili kutotenda matendo uhalifu katika jamii. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP…

4 January 2023, 8:25 am

Wizi wa ajabu wafanyika duka la dawa.

Na Adelina Ukugani: Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wafanyabiashara kuchukua tahadhari ya watu ambao wanaenda kama wateja kununua bidhaa kwao ili wasiwaingize katika hasara ya kuibiwa ikiwa ni baada ya muuzaji wa duka la dawa kuibiwa  na watu walioingia…