TAKUKURU
13 August 2024, 3:23 pm
Jeshi la polisi lamshikilia mmoja kifo cha msanii Man Dojo
Watu Wawili wilayani Bahi wameuwawa baada ya kushambuliwa sehemu mbalimbali na kuchomwa moto katika gari . Na Seleman Kodima.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia RAPHAEL KENETH NDAMAHNUWA, mwenye umri wa miaka 26 Mkazi wa Nzuguni B kwa ajili ya…
1 February 2024, 09:25
TAKUKURU yabaini mapungufu kwenye miradi 25 ya maendeleo Kigoma
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoani Kigoma imebaini mapungufu kwenye miradi 25 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 9 iliyofuatiliwa katika kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba 2023. Na, Lucas Hoha Hayo yamebainishwa na…
8 November 2023, 13:39
Takukuru yabaini mapungufu kwenye miradi minne ya maendeleo Kigoma
Vitendo vya rushwa vimeendelea kushamiri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchi hali inayochangia baadhi ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa wakati. Na, Lucas Hoha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu…
1 October 2023, 6:35 pm
TRA yawataka wananchi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti
TRA mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti KATAVI. Mamlaka ya mapato mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa…
18 August 2023, 10:05 am
Takukuru Simiyu yaokoa milioni 500 za mfanyabiashara
TAKUKURU mkoa wa Simiyu imeokoa mamilioni ya fedha za mfanyabiashara ambaye mali zake zingepigwa mnada kwa bei ya kutupwa. Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU mkoa wa Simiyu imefanikiwa kudhibiti upotevu wa zaidi ya Shilingi …
16 August 2023, 15:49 pm
TAKUKURU Mtwara yasaidia ukamilishaji wa miradi ya maendeleo
Na Musa Mtepa; Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara katika kipindi cha mwezi Aprili -Juni 2023 imefanikiwa kuokoa Miradi ya Maendeleo ambayo awali ilikuwa kwenye mtanziko wa ukamilishaji kutokana dosari za Wazabuni katika utekelezaji wake. Akizungumza…
5 July 2023, 11:25 am
Kupokea rushwa ni kosa, toa taarifa
Suala la kutoa na kupokea rushwa kwa viongozi na wafanyakazi wa sekta binafsi na za serikali mkoani Geita bado limeonekana kuwa ni changamoto na kupelekea Kaimu Kamanda Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita…
2 June 2023, 7:16 pm
Miradi mitatu iliyochunguzwa na Takukuru Simiyu yakutwa na dosari
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu imebaini kuwa miradi 3 kati ya 14 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 1 iliyofuatitiliwa imebainika kuwa na dosari katika utekelezaji wake . Akitoa taarifa katika kipindi cha robo ya …
15 February 2023, 5:28 pm
Upotevu wa wastani wa Shilingi 380,000 kwa siku umebainika
Upotevu wa wastani wa Shilingi 380,000 kwa siku umebainika katika makusanyo ya mapato ya stendi ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 11 kwa mwezi Mkoani Dodoma . Na Mariam Matundu. Hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa Takukuru mkoa…
10 February 2023, 10:15 am
Programu ya Takukuru Rafiki kuondoa Mianya ya Rushwa Simiyu.
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa -TAKUKURU Mkoani Simiyu imeanza kutekeleza kampeni ya Takukuru Rafiki lengo kupunguza na kuzuia vitendo vya rushwa katika ngazi ya kata na Vijiji. Akitoa Elimu hiyo kwa Jamii kupitia Sibuka fm Mkuu wa TAKUKURU…