Radio Tadio

Shule

22 Julai 2025, 2:23 um

Uboreshaji wa zahanati wapunguza vifo Ihumwa

Ikumbukwe kuwa mradi wa ukarabati wa jengo la zahanati ya Ihumwa ulianza tarehe 10 /08/2023, ukigharimu kiasi cha shilingi milioni 235.9  fedha kutoka Shirika la Wahisani ABBOT. Na Lilian Leopord. Uboreshwaji  wa miundimbinu uliofanyika katika zahanati ya Ihumwa iliyopo jijini …

10 Juni 2025, 3:55 um

Hospitali ya wilaya yaleta ahueni kwa wakazi wa Mlowa

Wakazi hao wameishukuru Serikali kwa kukamilisha hospitali hiyo ya Wilaya kwani imewapunguzia gharama za kusafiri kwenda hospitali zingine. Na Victor Chigwada. Ujenzi wa hospitali mpya ya Wilaya ya Chamwino katika Kata ya Mlowa barabarani umetajwa kuongeza tija kwa wananchi na…

31 Januari 2024, 9:06 um

Watoto wenye mahitaji maalum hawatakiwi kufichwa ndani

Shule ya msingi Dodoma Viziwi ni taasisi binafsi iliyoanzishwa mwaka 2005 ikiwa na jumla ya wanafunzi watano ambapo uandikishaji wa wanafunzi katika shule hiyo umezidi kuongezeka na katika mwaka huu 2024 imeandikisha jumla ya wanafunzi 22. Na Fed Cheti.Mkuu wa…

4 Januari 2024, 4:28 um

Shekimweri ataka mapungufu yarekebishwe Mayeto

Zoezi la ukaguzi wa shule mpya jijini Dodoma zinazo tarajia kufunguliwa january 8 umeendelea ambapo mkuu wa wilaya alipata wasaa wa kutembelea shule mbili ambazo pia zimekamilika. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri ametaka mapungufu yaliyopo katika…