Radio Tadio

sheria

10 October 2024, 7:00 pm

Fahamu chanzo cha migogoro ya ndoa katika jamii

Na Steven Noel . Migogoro imetajwa kuwa ni chanzo kikuu cha kuvunjika kwa mahusiano ya ndoa  katika jamii kwa sasa. Bi. Ruth Udamo Afisa Ustawi anayeshughulikia masuala ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa Wilaya ya Mpwpwa anabainisha sababu kadhaa zinazopelekea…

2 October 2024, 8:57 pm

Wananchi Dodoma washauri suluhisho migogoro ya ardhi

Na Nazael Mkude. Wakazi wa mkoa wa Dodoma wametoa  maoni yao kuhusu njia za kupunguza migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma. Wakizungumza na Dodoma TV, Wakazi hao wamesema kuwa  ili kupunguza migogoro ya ardhi inapaswa  viongozi na wananchi kushirikiana…

31 January 2024, 22:29

Kyela: Manase mgeni rasmi kilele cha Sheria Kyela

Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria hapo kesho katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Kyela. Na Nsangatii Mwakipesile Kuelekea kelele cha maadhimisho ya siku ya sheria hapa nchini…

27 January 2024, 7:29 pm

Migogoro ya ardhi, mirathi yapatiwa mwarobaini Maswa

“Wananchi waitumie wiki na siku ya sheria kupata elimu ya kisheria ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima hasa migogoro ya ardhi na mirathi kwa sasa hairipotowi kwa wingi katika vyombo vya kutoa haki.” Na,Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa…

12 July 2023, 1:32 pm

Makala: Mwananchi unaelewa nini kuhusu Dhamana?

Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu Dhamana. Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi saa nne asubuhi 88.9 Storm FM Sauti ya Geita.…