Ndoa
4 January 2024, 3:40 pm
Mme amkata mapanga akitaka warudiane
Imekuwepo tabia ya baadhi ya wanandoa wanapo tarakiana, mmoja wao kushindwa kukubaliana na hali jambo hili limepelekea baadhi ya kuchukua maamzi ya kujitoa uhai au kutoa uhai wa wenzi wao wa zamani wakihisi itasaidia ndio sababu iliyomkuta Bwana Masolwa Maliki…
1 January 2024, 13:08
Ndoa 16 zafungwa na kubarikiwa siku moja ya mwaka mpya
Na Hobokela Lwinga katika kuupokea mwaka mpya 2024 kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Yeriko uliopo mbalizi Mbeya. Akiongoza katika ibada hiyo kwa wanandoa hao mchungaji wa ushirika wa Yeriko Paul Mwampamba amesema ndoa hizo ni…
6 December 2023, 7:11 pm
Ajinyonga baada ya kutelekezewa watoto saba na mke wake
Matukio ya wanandoa kuachana yanazidi kushika kasi wilayani Sengerema huku yakitanjwa kuwa ndio chanzo kinacho pelekea vifo kwa baadhi yao baada ya kutalakiana kufuatia msongo wa mawazo na kusindwa kuvumilia maumivu . Na:Emmanuel Twimanye. Mwanaume mwenye umri wa miaka 37…
31 October 2023, 09:06
Askofu Mwakanani apata mchumba,kufunga ndoa mwakani 2024
Mungu aliona si vyema mwanaume akawa peke yake akamfanyia msaidizi,hivyo ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana Mithali 18:22 inasema Apataye mke apata kitu chema;Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Na Kelvin Lameck Askofu wa makanisa ya Evangelical Brotherhood Tanzania…
22 September 2023, 13:10
Viongozi wa dini wajitosa kuokoa ndoa
Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli, ndoa au mahusiano yanaweza kufeli kwa sababu nyingi na iwapo ndoa yako ilianguka na kufeli sababu kubwa yaweza kuwa na tofauti nyingine.…
12 September 2023, 12:31
Kuvunjika kwa ndoa chatajwa kuwa chanzo cha wimbi kubwa la watoto mitaani
Uwepo wa migogoro mingi baina ya wanandoa imepelekea ndoa nyingi kuvunjika imetajwa kuwa ni sababu kubwa inayo sababisha uwepo wa watoto wa mitaani ambao wanakosa kuwa na makazi maalumu. Na mwandishi wetu james mwakyembe Kuvunjika kwa ndoa, malezi duni pamoja…
7 September 2023, 2:27 pm
Familia zatakiwa kutatua changamoto ili kujenga ustawi wa watoto
Migogoro katika familia isiposuluhishwa matokeo yake ni ndoa kuvunjika, kitendo ambacho hakipendwi na jamii, na hakina faida kwa watoto wao, madhehebu ya dini, wazazi, jamaa na wategemezi wao. Na Yussuph Hassan. Utatuzi wa changamoto za kifamilia umetajwa kuwa ni njia…
26 June 2023, 3:56 pm
Wanandoa watakiwa kumtegemea Mungu
Tukio hilo la kufungisha ndoa liliambatana na sherehe za dekania ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji zilizofanyika parokiani Kigwe ambazo zilitanguliwa na uzinduzi wa nyumba mpya ya mapadri parokiani hapo. Na Bernad Magawa. Makamu wa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki Dodoma…