Radio Tadio

Mgogoro

10 November 2023, 14:03

Mbeya ‘Cement’ yarudisha fadhila kwa wananchi

Mwandishi Samweli mpogole Kampuni ya Saruji (Mbeya Cement Ltd) imetoa hekari 700 kwa wanakijiji wa Songwe Viwandani halmashauri ya wilaya ya Mbeya Kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kilimo Hatua hiyo ni sehemu ya mchango wa uwekezaji Kwa wananchi wanaoishi…

19 September 2023, 10:44 pm

Mgogoro wakulima na wafugaji waitesa Chikobe

Changamoto ya wakulima na wafugaji bado imeendelea kusumbua katika baadhi ya maeneo mkoani Geita. Na Said Sindo- Geita Wakulima wa kijiji cha Chikobe kata ya Nyachiluluma, wilayani na mkoani Geita wamesema wapo hatarini kukumbwa na njaa baada ya mashamba yao…

September 12, 2023, 12:22 pm

Wananchi waipongeza serikali kutatua mgogoro wa eneo la kuzika

Na Maoni Mbuba, Songwe Wananchi wa kijiji cha Mbebe kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe waipongeza serikali kupitia kwa mwanasheria wa halmashauri hiyo kumaliza mgogoro wa maeneo ya kuzika baina ya wananchi kijijini hapo. Wananchi hao wamesema hayo wakati…

13 August 2023, 2:13 pm

Wakulima, wafugaji Kojani wanyoosheana vidole

Baada ya migogoro ya muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji katika shehia ya Kojani bado suala hili limekuwa kizungumkuti kutokana na kukosekana kwa ufumbuzi wa tatizo hilo. Na Mwiaba Kombo Wakulima shehia ya Kojani Wilaya ndogo ya Kojani mkoa…

6 July 2023, 8:47 am

Migogoro ya ardhi suluhisho lake ni lipi?

Moja ya changamoto inayojitokeza mara kwa mara katika maeneo tofauti ya mkoa wa Geita ni migogoro ya ardhi, wananchi wamefunguka ili kupata ufumbuzi. Baadhi ya wakazi wa kata ya Nyankumbu wameiomba serikali ya wilaya ya Geita kutatua Migogoro ya ardhi…

21 March 2023, 4:50 pm

Hatimaye mgogoro wa ardhi Kingale watatuliwa

Baada ya mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kutatuliwa hatimaye zoezi la upimaji limeanza rasmi katika eneo hilo. Na Nizar Mafita. Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutatua mgogoro wa ardhi…