Mahakama
1 February 2024, 22:39
RC Dendego amwagiza DED manispaa ya Iringa kutenga eneo ujenzi wa mahakama
Na Moses Mbwambo, Iringa Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ameuagiza Uongozi wa Manispaa ya Iringa kutenga eneo jipya kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama baada ya majengo ya mahakama yaliyopo kuonekana eneo lake limebanana. Mhe. Dendego ameyasema…
1 February 2024, 8:09 pm
DC Kaminyoge: Elimu ya Kisheria iendelee kutolewa kwa Wananchi
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Kaminyoge amewataka wadau wa Sheria kuendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kwani wanawategemea sana katika Utoaji wa Haki. Hayo ameyasema katika kilele cha Wiki ya Sheria katika Viwanja vya Mahakama ya Wilaya …
31 January 2024, 8:14 pm
Jaji Mkuu aibua hoja kukabiliana na uharifu nchini
Kongamano hilo limeandaliwa na Mahakama ya Tanzania kupitia chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) . Na Mindi Joseph.Jaji mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma leo amefungua kongamano la siku moja la kujadili masuala ya makosa ya uharifu jijini Dodoma.…
31 January 2024, 1:29 pm
Asilimia 90 kesi zinazoripotiwa mahakama ya wilaya Uyui ni za ubakaji
Asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ni za ubakaji. Na Zaituni Juma Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Tausi Mongi amesema asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama hiyo…
18 August 2023, 4:58 pm
Muuguzi aliyetuhumiwa kubaka abainika hana hatia, aachiwa huru
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Sikonge imemwachia huru afisa muuguzi aliyekuwa akituhumiwa kwa ubakaji baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo hivyo kuonekana hana hatia. Na Salma Abdul Muuguzi wa daraja la pili katika hospitali ya wilaya ya Sikonge…
19 May 2023, 4:38 pm
Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama nchini waridhishwa na huduma
Wafanyakazi wa mahakama wamejipambanua kwa kufanikisha na kusongeza huduma za utoaji haki karibu na wananchi. Na Mindi Joseph. Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma amesema Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama wameridhishwa na utoaji wa huduma kutoka kwa majaji…
3 May 2023, 5:38 pm
Mahakama kuu divisheni ya kazi yaahidi kushirikiana na osha
Dkt. Mlyambina amemshukuru Mtendaji Mkuu wa Usalama na Afya mahali pa kazi (OSHA) kwa kuridhia mpango wa utoaji Elimu kwa Menejimenti ya Mahakama Kuu Divisheni ya kazi. Na Alfred Bulahya. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Yose …
7 February 2023, 10:19 pm
Kesi Zimalizwe kwa Usuluhishi Kuokoa Muda
KATAVI Wananchi mkoani katavi wameshauriwa kumaliza kesi za madai kwa njia ya usuluhishi ili kuondoa gharama na kutopoteza muda. Hayo yamesemwa na Hakimu mkazi mkuu mfawidhi mkoa katavi Gway Sumaye alipokuwa akitoa hotuba katika hitimisho la wiki ya sheria ambapo…
20 January 2023, 3:14 am
Uzinduzi wa Jengo la Mahakama Katavi
KATAVI Watumishi wa Mahakama nchini wametakiwa kutenda haki na kuepuka vitendo vya rushwa ili kuwahudumia wananchi kwa haki,usawa na kwa wakati. Hayo yamesemwa na Jaji Kiongozi Mahakama Kuu Tanzania Mustapher Mohamed Siyani wakati akizungumza katika uzinduzi wa mahakama za hakimu…
28 March 2022, 2:30 pm
Watoto wenye upungufu wa damu na maumivi ya viungo wametakiwa kupelekwa hospital…
Na;Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa Wazazi na Walezi Jijini Dodoma kuwapeleka vituo vya afya watoto wenye upungufu wa damu na maumivu ya viungo mara kwa mara, kwani inawezekana ikawa moja wapo ya dalili ya ugonjwa wa seli mundu (siko…