Radio Tadio

mafuriko

15 January 2024, 11:49

Zaidi ya nyumba 100 zaezuliwa wilayani Kibondo

Tathimini iliyofanywa na kamati ya maafa wilayani Kibondo mkoani Kigoma imebaini kuwa zaidi ya nyumba 100 ziliezuliwa na mvua iliyoambatana na upepo katika kambi ya wakimbizi Nduta ndani ya wiki mbili zilizopita. Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Kibondo…

12 January 2024, 08:37

Kibondo hakuna mafuriko lakini kuna athari kubwa

Licha ya kutokuwepo mafuriko katika wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma lakini mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha athali mbali mbali ikiwemo uharibifu wa miundo mbinu ya barabara, uharibifu wa mazao shambani na kuezuliwa kwa nyumba.  Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na mkuu…

5 January 2024, 17:38

Mafuriko yazihamisha kaya 17 wilayani Kasulu

Takribani Kaya 17 katika mtaa wa Kigungani Kata ya Mwilanvya Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapo jana na kupelekea baadhi ya kaya kuhama. Na, Hagai Ruyagila Mvua hiyo iliyodumu kwa zaidi ya…

27 December 2023, 4:58 pm

Wakazi wa Bicha Kondoa wahofia kuathirika na mafuriko

Wananchi wanaoishi pembezoni mwa mkondo wa maji wamekuwa wakisisitizwa kuhama maeneo hayo ili kuepuka athari ambazo zinaweza kuwapata ikiwemo ikiwemo mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu wa mali na maisha ya watu. Na Nizar Mafita. Wananchi wa Mtaa wa Bicha katika…