macho
3 October 2024, 8:10 pm
Mimba za utotoni bado ni tatizo kwa taifa
Na Lilian Leopold Tatizo la mimba za utotoni limekuwa ni suala endelevu katika jamii nyingi nchini Tanzania. Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma kutoka Dawati la Kijinsia Bwn. Michael Nkinda amebainisha sababu mbalilmbali zinazopelekea kuwepo kwa tatizo hilo miongoni mwa…
8 August 2024, 5:01 pm
Mazingira rafiki ya elimu yanavyopunguza mimba za utotoni
Mariam Matundu ametembelea katika kata ya Mbabala na kuzungumza na Lilian Masunga mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mbabala. Na Mariam Matundu.Leo tunaangazia namna ambavyo mazingira rafiki ya wasichana kupata elimu yanasaidia kupunguza mimba za utotoni .…
8 July 2024, 5:03 pm
Namna gani tunaweza kumlinda msichana mwenye ulemavu kuepuka mimba za utotoni
Leo tunaangazia kwa namna gani tunaweza kuwalinda wasichana wenye ulemavu kuepukana na Mimba za utotoni,Mwenzetu Selemani Kodima ametuandali taarifa ifuatayo. Na Seleman Kodima.Tatizo la mimba za utotoni limekuwa kubwa duniani na linaongezeka siku hadi siku hasa katika jamii ya uchumi…
17 January 2024, 7:42 am
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ugonjwa wa macho mekundu
Kwa Mujibu wa taarifa hiyo ya Mkurugenzi wa huduma za tiba kutoka wizara ya Afya Profesa Ruggajo Katika kipindi cha Desembe 22, 2023 hadi Januari 11, 2024 kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaosumbuliwa Akitolea Mfano mkoa wa Dar Es…
21 December 2023, 5:47 pm
Tatizo la afya ya ngozi latajwa kuchangia muwasho wa jicho
Dkt. Salumu amesema matatizo ya ngozi pamoja na matumizi ya sabuni za aina tofauti husababisha mtu kupatwa na tatizo hilo. Na Aisha Alim. Tatizo la macho kupatwa na muwasho linataja kusababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo tatizo la afya ya ngozi…
16 December 2023, 12:15 am
Wananchi watoa maoni mseto kwa wavaa miwani bila kupima
Wananchi mkoani Katavi watoa maoni juu ya madhara ya kuvaa miwani bila kuzingatia ushauri wa madktari wa macho. Na Lilian Vincent – Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni juu ya madhara yanayoweza kumpata mtu anaevaa miwani bila…
3 October 2023, 19:09
Umuhimu wa kutunza macho yako ukiwa kazini
Katika maisha yetu ya kila siku tunashauriwa kutunza macho yetu kwa kupunguza matumizi ya simu pamoja na komputa hasa ukiwa kazini. Na Mpoki Japheth Wananchi mkoani Mbeya wameshauriwa kutunza macho yao ili kuepukana na changamoto ya tatizo la uoni hafifu.…
20 July 2023, 7:39 pm
Wananchi waomba kupatiwa elimu utunzaji wa macho
Kwa mujibu wa wataalam wa afya ya macho wanasema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa watu kuwa na mazoea ya kupima afya ya macho mara kwa mara kutokana na macho kuwa moja ya kiungo muhimu katika utendaji wa kazi wa kiumbe…
12 October 2022, 11:30 am
CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani
Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…
27 May 2022, 2:58 pm
Jamii yatakiwa kutofumbia macho ajali zinazo athiri macho
Na;Yussuph Hassan. Jamii imeshauriwa kutofumbia macho ajali mbalimbali zinazoathiri macho kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha uoni ambao unaweza kusababisha upofu baadae. Ushauri huo umetolewa na Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka kliniki ya Cvt Dodoma Dkt Nelson Mtajwaa wakati akizungumza…