EAGT
1 September 2026, 16:44
Wakulima watakiwa kutumia mvua za El nino kwa kilimo
Wananchi wameendelea kusisitiza umuhimu wa kupata taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mwenendo wa mvua, huku wakitakiwa kuchukua tahadhari mapema kwa kusafisha mifereji, na kufuata maelekezo yanayotolewa na mamlaka husika. Na Peter Katemi. Wakulima wametakiwa kujiandaa kukabiliana na mvua za…
31 August 2026, 17:29
Kilimo cha nyanya chatajwa fursa ya ajira kwa vijana
Ili vijana waweze kufaidika kikamilifu na fursa hii, jamii inapaswa kuwapa ushirikiano na kuwatia moyo, huku serikali na wadau wengine wakiendelea kuboresha mazingira ya miundombinu ya kilimo na masoko. Na Derick Mazemba. Kilimo cha nyanya kimekuwa kikitajwa kama moja ya…
24 August 2026, 17:18
Wakulima wa zabibu Dodoma walia na soko
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa kilimo imehimizwa kuendelea kuweka mazingira rafiki ya biashara, kuboresha miundombinu ya masoko na kutafuta fursa za masoko ya ndani na nje ya nchi, ili zao la zabibu liendelee kuwa nguzo muhimu ya kuinua uchumi…
17 August 2026, 17:35
Wananchi Huzi walia na uvamizi wa tembo
Wananchi walio athiriwa na tembo hao kupewa fomu za kujaza na uongozi wa kijiji ili kufidiwa hasara waliyo ipata lakini hakuna utekelezaji wowote. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Huzi Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwasaidia kukabiliana na Tembo…
13 August 2026, 11:16
Jaribio kilimo viazi mviringo laonesha mafanikio Dodoma
Utafiti wa zao la viazi mviringo mkoani Dodoma bado unaendelea ili kukamilisha hatua zote muhimu kabla ya mbegu hiyo kuingizwa rasmi sokoni. Na Yussuph Hassan. Jaribio la kwanza la Mbegu ya viazi mviringo lililotafitiwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo…
6 August 2026, 17:38
Wakulima watakiwa kutumia anuani za makazi
Mhandisi Turuka ametoa wito kwa wananchi wote wanaotembelea Maonesho ya Nanenane kufika katika banda la Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ili kupata elimu na kujisajili au kusasisha taarifa zao katika Mfumo wa Anwani za Makazi, hatua ambayo itawawezesha…
3 August 2026, 11:31
Waziri wa Kilimo aongoza marathon miaka 10 ya Tari
Maadhimisho ya Miaka 10 ya TARI yanatarajiwa kuendelea kwa shughuli mbalimbali zikiwemo maonesho ya teknolojia za kilimo, elimu kwa wananchi na utoaji wa huduma za ushauri wa kitaalamu kwa wadau wa sekta hiyo. Na mwandishi wetu. Waziri wa Kilimo Mhe.Daniel…
13 July 2026, 15:52
Umiliki halali wa ghala Matui wazua mgogoro
Hii hapa tarifa yake kitana Hamisi kutoka wilayani Kiteto Mkoani Manyara. Na Kitana Hamis. Mvutano wa umiliki wa ghala lililopo Kijiji cha Matui, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, umeendelea kushika kasi huku wananchi na Chama cha Ushirika cha Matui (Matui…
6 July 2026, 17:49
Mixx by Yas yaimarisha ushirikiano na vyama vya ushirika
Kampuni hiyo imeingia makubaliano na vyama vya ushirika kwani kampuni hii imekuwa mdau wa TCDC Kwa muda mrefu. Na Anwary Shaban. Kampuni ya Mixx by YAS Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano na vyama vya ushirika nchini kwa kusaini hati ya makubaliano…
22 June 2026, 17:02
Simulizi ya Vilindoni na uimara wa vihenge vya jadi
Uimara wa vihenge hivi umefanya viwepo hadi leo katika eneo hilo na kufanya eneo hilo kuitwa Vilindoni. Na Yussuph Hassan.Historia ya Vilindoni inaonesha kuwa eneo hili limekuwepo kwa muda mrefu kama makazi ya watu waliotegemea kilimo na ufugaji kwa maisha…