Radio Tadio

chakula

5 Mei 2026, 16:40

Unamsaidiaje kijana mwenye tatizo la afya ya akili?

Hii inafanya uwekezaji katika huduma na programu za afya ya vijana kuwa si tu jambo la kimaadili bali pia ni jambo lenye maana kiuchumi. Kwa mujibu wa Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) uwekezaji wa haraka unahitajika ili kukabiliana…

12 Disemba 2025, 16:09

Mtindo wa maisha chanzo cha msongo wa mawazo kwa wanafunzi vyuoni

Taswira ya Habari imetembelea baadhi ya vyuo vilivyopo jijini Dodoma nakuzungumza na wanafunzi ambapo wamesema. Na Bennard Filbert.Wanafunzi wa vyuo nchini imetajwa kuwa chanzo kikuu cha msongo wa Mawazo hali inayopelekea baadhi yao kuchukua maamuzi ya kujiua. Hayo yanajiri kutokana…

28 Januari 2025, 18:31

Ukosefu wa taarifa na unyanyapaa vyatajwa makabiliano afya ya akili

Lengo ni kuhakikisha Mapato yatakayopatikana yanachangia upatikanaji wa huduma hiyo. Na Seleman Kodima.Ukosefu wa taarifa sahihi ,unyanyapaa zimetajwa kuwa sababu zinazopeleka jamii kutojitokeza kushiriki afua za kukabiliana na magonywa ya changamoto za afya ya akili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…

18 Oktoba 2023, 09:29

FAO yaahidi kuunga mkono juhudi za Tanzania

Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka nchi wanachama, viongozi wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa. Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za…

18 Agosti 2023, 5:27 um

Madiwani watakiwa kupambania chakula shuleni

Madiwani wamesisitizwa kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni unazingatiwa. Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo amewataka madiwani kushirikiana na walimu kuhakikisha chakula kinapatikana shuleni ili wanafunzi wapate muda wa kutosha wa kujifunza. Amesema hayo akiwa kwenye kikao cha baraza la…

28 Machi 2023, 13:42

Biashara ya chakula jijini Dodoma yashuka

Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki ambapo waislamu na baadhi ya wakristo wakiwa katika kipindi cha mfungo. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki…

16 Septemba 2022, 13:01

Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni

Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza  Jijini…