Podcasts

19 November 2023, 12:22 pm

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.

16 November 2023, 4:02 pm

Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika

Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…

16 November 2023, 3:13 pm

Miaka 10 ya Tumbatu Fm, wenye ulemavu wathaminiwe

Radio ya jamii Tumbatu inaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo maadhimisho hayo yanaambatana na kufanya matendo ya huruma kwa jamii hasa wenye mahitaji maalum. Na Mwanahawa Hassan. Jamii imetakiwa kuishi vizuri na watu wenye ulemavu na kuwapatia mahitaji yao…

12 November 2023, 11:16 am

Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.

Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…