Podcasts

8 July 2022, 14:52 pm

Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi

Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara. Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba  …

8 July 2022, 14:28 pm

MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto

Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…

30 June 2022, 7:03 pm

Mwili wa mtu mmoja waokotwa ukiwa umeharibika Pangani.

Jeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limethibitisha kuokotwa kwa mwili wa mtu moja Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 24 hadi 25 aliyefahamika kwa jina Kombo Juma katika eneo la Kumba Mtoni lililopo kwenye kijiji cha Pangani…

28 June 2022, 20:46 pm

TAKUKURU Mtwara: Tunawashukuru Waandishi wa Habari na Wadau

Taasisi ya  Kupambana na Kuzuia Rushwa  (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imewashukuru wananchi na taasisi mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari kwa namna ambavyo wametoa ushirikiano katika kuelimisha umma kwa  mwaka wa fedha  unaoishia Juni 30, 2022 huku TAKUKURU ikifikia malengo yake…

20 June 2022, 7:09 pm

Pangani FM kuongeza nguvu katika Sensa 2022

Kituo cha Redio Pangani FM kilichopo wilayani Pangani mkoani Tanga kinatarajia kuongeza nguvu katika kuisaidia serikali kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Hayo yameelezwa na mhariri wa kituo hicho Bw. Erick Mallya kufuatia mafunzo maalum…