Podcasts
3 August 2023, 4:43 pm
Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii
Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii. Na Mariam Matundu. Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.
3 August 2023, 4:19 pm
Zifahamu shughuli za kiuchumi zinazochangia uharibifu bwawa la Hombolo
Serikali imekuwa ikiwasisitiza wavuvi kuwa na leseni lakini watu wengi wa eneo hili hawafuati utaratibu ili kutunza samaki wanao patikana katika bwawa hilo. Na Yussuph Hassan. Shughuli za kiuchumi zimekuwa zikiendeshwa kwa muda mrefu katika bwawa hili lakini shughuli za…
3 August 2023, 14:21 pm
Kipindi: Watanzania wengi wanaishi kwenye dhana ya ndoa na sio Ndoa
Na Musa Mtepa Akizungumza katika kipindi maalumu kinachorushwa na jamii FM redio cha tarehe 25/07/2023,Hakimu Mkazi kutoka mahakama ya Mwanzo Mkoani Mtwara Ndugu Alex Robert amesema baada ya ndoa kufungwa inapaswa kusajiriwa katika taasisi ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na…
31 July 2023, 4:53 pm
Historia ya bwawa la Hombolo
Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…
28 July 2023, 5:07 pm
Fahamu shughuli zinazofanyika bwawa la Hombolo
Je bwawa hili linawanufaisha vipi wakazi wa Hombolo hususani katika shughuli mbalimbali kama kilimo na uvuvi? Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo limekuwa likitumika na wakazi wa eneo hilo kwa ajili ya uvuvi wa samaki aina ya perege na wengine…
28 July 2023, 3:50 pm
Ifahamu historia ya bwawa la Hombolo
Wananchi katika vijiji vingi vya jirani walikimbia makazi yao na kuhamia vijiji vingine wakati wa ujenzi wa bwawa hilo, ikiwa ni pamoja na Zepisa. Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo lilijengwa ili kuunda bwawa lililopo katika kijiji cha Hombolo Bwawani. Bwawa hilo lilijengwa na serikali ya kikoloni…
28 July 2023, 2:41 pm
Bodi mpya yatakiwa kusimamia kanuni, taratibu
Pia amesema wana jukumu la kuishauri wizara kujua ni namna gani Wakala wa Vipimo iboreshe utendaji kazi wake. Na Seleman Kodima. Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji amewataka wajumbe wapya wa bodi ya sita ya ushauri ya…
26 July 2023, 5:55 pm
Utunzaji wa mila na Desturi katika wilaya ya Bahi
Je wakazi wa eneo hili bado wanadumisha mila na desturi. Na Yussuph Hassan. Bado tupo wilayani Bahi kuitazama historia ya wilaya hii na leo tutafahamu kuhusu wenyeji wa eneo hili ni kabila gani hasa.
25 July 2023, 5:01 pm
Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?
Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…
July 25, 2023, 1:59 pm
John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali
Mwanaume huyu anayejulikana kwa jina la John Gabriel Mandale mkazi wa kata ya Shunu wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia matatizo makubwa baada ya kupata ajali na kupasuka kichwa alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kikazi huko mkoani Geita Mgodini hali…