Storm FM

zahanati

9 May 2024, 3:04 am

Wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa hawana zahanati

Vituo vya afya na zahanati ndizo ngazi za kwanza za afya zinazoigusa jamii moja kwa moja. Licha ya serikali kuweka mpango wa kurahisisha huduma za afya kwa kuboresha miundombinu, kwa wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa bado ni kitendawili. Na: Evance…

28 January 2024, 12:55 pm

Wachimbaji na wavuvi hawatumii vyoo kisa imani potofu

Makundi ya wachimbaji na wavuvi yako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko hususani kipindupindu kwasababu hawatumii vyoo kwenye maeneo yao. Na Mrisho Shabani: Wachimbaji wa madini ya dhahabu pamoja na wavuvi mkoani Geita wametajwa kuwa ni miongoni mwa makundi ambayo hayana…

4 January 2024, 11:12 am

Aonekana hai baada ya kufariki miaka 3 iliyopita Geita

Mwanamke Mugumba Misalaba aliyepatikana akiwa hai Fitina baada ya kufariki miaka 3 iliyopita. Picha na Amon Bebe Matukio ya baadhi ya watu kufariki dunia na kuonekana tena yameendelea kutokea katika maeneo tofauti, jambo ambalo linazua mizozo na kuhusishwa na imani…

3 January 2024, 10:27 am

Zaidi ya vijiji 5 maji ni changamoto Geita

Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…

25 November 2023, 11:26 am

Mwanamke aliyejeruhiwa na mume wake anaendelea vizuri

Bwana Colini mtendaji wa mtaa wa 14 kambarage ndiye aliyetolea taarifa tukio hilo la ugomvi wa mke na mume baada ya kutokea mtaani hapo. Na Kale Chongela- Geita Mwanamke Justina Paul ambaye alijeruhiwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na…

18 November 2023, 3:38 pm

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza tishio wilayani Geita

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yameendelea kuwa tatizo miongoni mwa wakazi wa Mkoa wa Geita huku mtindo wa maisha ukitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick – Geita Idadi ya wagonjwa wanaosumbuliwa na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo  kisukari katika kituo cha…

15 October 2023, 6:59 am

Popo wavamia mtaa, wananchi wakumbwa na taharuki Geita

Changamoto ya popo katika baadhi ya maeneo Tanzania imeonekana kuwa ni sugu, hilo pia limetokea katika mtaa wa katikati ya mji wa Geita. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa mtaa wa Nyerere Road uliopo kata ya Kalangalala, halmshauri ya Mji…