Storm FM
Storm FM
November 19, 2025, 12:40 pm
Na Denis Sinkonde,Songwe Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Songwe imewataka Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji kuacha mara moja tabia ya kumiliki mihuri ya Serikali, ikisema kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria na imekuwa ikichochea…
November 13, 2025, 5:33 pm
”Nawaomba wakulima wote kujiunga kwenye mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (MVIWATA) ili waweze kuwa na sifa za kukopeshwa pembejeo za kilimo” Benard Mathew afisa kilimo kata ya Bunda stoo Na Amos Marwa Wakulima wadogowagogo mkoa wa Mara wamehakikishiwa fursa…
9 October 2025, 12:32 pm
Matumizi sahihi ya mtandao yanachangia kukuza ubunifu na maarifa katika nyanja mbalimbali. Kupitia teknolojia hii, watu wanaweza kupata taarifa, kujifunza mbinu mpya, na kubuni mawazo yatakayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Picha na Google. Bi. Lawi ameongeza kuwa mtu anaweza…
October 1, 2025, 4:36 pm
Kuelekea msimu wa mvua baadhi ya wafanyabiashara na wakazi katika mtaa wa soko la Kwashayo katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameomba kutafutiwa suluhisho la kudumu kuhusu Dampo la taka linalopatikana maeneo hayo. Na:Irene Charles Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi katika…
September 27, 2025, 4:59 pm
Wenyeviti wa vijiji wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameonywa juu ya kujichukulia maamuzi ya kuuza ardhi ya kijiji bila kuwashiriki wananchi kupitia mikutano mikuu ya vijiji. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Zaituni Msofe, amewataka wenyeviti wa…
24 September 2025, 2:35 pm
“Suala zima la riadha,suala zima la mpira wa miguu,mpira wa mikono,mpira wa pete na michezo aina nyinginezo nyingi kwa sababu tunaona fursa ya ajira” Na Joel Headman Mgombeau rais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha United Democratic Party (UDP)…
17 September 2025, 10:36 am
“Nimekuja kupitia kauli yangu ya mimi nitawafikisha,endapo nitapata…endapo nitafanikiwa kuwa mbunge wa jimbo hili” Na Joel Headman Mgombea ubunge jimbo la Arumeru Magharibi kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bi.Nasinyari Mollel ameeleza kuwa sera inayopigiwa chapuo na chama chake…
12 September 2025, 9:13 am
“Ikiwa serikali na taasisi binafsi zitaendelea kuwawezesha watu wenye ulemavu kwenye masuala ya biashara kutawarahisishia kuondokana na ugumu wa maisha” Na Vuai Juma. Wanachama wapatao 25 kutoka vikundi 16 vya kuweka na kukopa katika Wilaya ya Kusini Unguja wamepatiwa mafunzo…
September 9, 2025, 6:08 am
Na Denis Sinkonde Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Senga amekabidhi jumla ya magari 6 mapya kwa ajili ya kuimarisha utendaji kazi wa Jeshi hilo hususani kuzuia na kupambana na uhalifu. Akizungumza wakati wa…
August 23, 2025, 1:39 pm
Matendo hayo ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi wa mazingira na kutoa misaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Nyamiaga. Na David Mwaluseke- Ngara, Kagera Katika kuadhimisha miaka 64 ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara baada ya Uhuru, jeshi hilo…