Storm FM

miundombinu

8 June 2025, 2:57 pm

Wananchi wafunguka ujenzi stendi mpya Geita

Baada ya kusota kwa miaka mingi hatimaye wakazi wa Geita mjini wanakwenda kupata stendi mpya ya kisasa ya mabasi. Na Mrisho Sadick: Watumiaji wa kituo kikuu cha mabasi ya abiria Mkoa wa Geita wameishukuru serikali kwa kutoa fedha kiasi cha…

6 June 2025, 5:50 pm

Bilioni 19 kujenga stendi mpya Manispaa ya Geita

Matamanio ya muda mrefu kwa wakazi wa Manispaa ya Geita yakuahidiwa kituo cha kisasa cha mabasi ya abiria huenda yakafanikiwa baada ya Manispaa hiyo kusaini mkataba wa ujenzi. Na Kale Chongela: Halmashauri ya Manispaa ya Geita imesaini mkataba wa ujenzi…

26 May 2025, 4:18 pm

Maziwa ya nyuki yawa dili

Imezoeleka kuwa nyuki hutupatia asali pekee,lakini nyuki hawa wana maziwa yanayopatikana kwa bei ya juu sana,Shirika la Floresta Tanzania wameweza kutubainishia hayo. Na Elizabeth Mafie-Moshi Kilimanjaro Wafugaji wa nyuki mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitokanazo na mazao ya…

19 May 2025, 21:05

Wakulima Kyela wahimizwa kuongeza thamani ya kakao

Na Samweli Mpogole Wakulima wa zao la kakao wilayani Kyela, mkoani Mbeya, wamehimizwa kuongeza thamani katika zao hilo ili kujiongezea kipato na kukuza uchumi wa kaya zao. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase, wakati…

May 19, 2025, 11:38 am

Wananchi jitokezeni kuboresha taarifa

Picha ya Afisa uchaguzi Bashan Kinyunyu Wananchi wametakiwa kujitokeza kwenye kuboresha taarifa pamoja na kujiandikisha kwa wale waliokosa nafasi hiyo awamu ya kwanza Na Kudrat Massaga Wananchi wamesisitizwa kijitokeza kwa wingi kwenye vituo vilivyotangazwa kwajili ya kuboresha taarifa zao pamoja…

9 May 2025, 4:41 pm

Mapambano dhidi ya saratani uchunguzi wa mapema ni silaha

“Uchunguzi wa mapema uliwasaidia kupata tiba kwa wakati, hali iliyowezesha matibabu kuwa na ufanisi mkubwa na hatimaye kupona kabisa saratani ya matiti“ Na Mary Julius Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani Zanzibar Dk Hellen Makwani ametoa wito kwa jamii, hasa…