Storm FM

miundombinu

20 July 2025, 5:36 pm

Dkt. Mwanaisha kung’arisha Wilaya ya Kati

Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kati, Dkt. Mwanaisha Ali Said,amewahimiza wananchi kubadilika kifikra na kuchukulia usafi kama jukumu la pamoja kwa ajili ya afya na maendeleo ya jamii. Wananchi wa Wilaya ya Kati wametakiwa kuzingatia suala la usafi wa mazingira…

13 July 2025, 7:05 pm

Kadi za matibabu za kidijitali zaipa Zanzibar tuzo ya kimataifa

Tuzo ya World Summit on the Information Society (WSIS) hutolewa na International Telecommunication Union (ITU) kwa kutambua matumizi bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika maendeleo ya jamii. Mradi wa Kadi ya Matibabu ya Zanzibar uliibuka miongoni mwa…

4 July 2025, 4:46 pm

Jamii yatahadharishwa meno ya watoto yako hatarini

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwafanyia uchunguzi wa afya watoto ili kuweza kugundua tatizo na kupatiwa matibabu mapema. Na Mary Julius. Jamii nchini imeshauriwa kujiwekea utaratibu wa kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya ili kufanyiwa uchunguzi wa maradhi mbali…

1 July 2025, 1:43 pm

Uongozi ni fursa kwa wanawake

“Wanawake wamekuwa msitari wa mbele kugombania nafasi za uongozi ndani ya mkoa wa kaskazini Unguja hali hii inatuonesha wazi kuwa mkoa wetu umepiga hatua kwenye demokrasia” Na Vuai Juma Chama cha mapinduzi mkoa wa Kaskazini Unguja kimesema kinatambua juhudi na…

20 June 2025, 9:59 pm

Bonga yanufaika na bil 2 za miradi

Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Babati Shaaban Mpendu amefanya ziara ya kikazi katika kata ya bonga na kusikiliza changamoto za wananchi wa kata hiyo pamoja na kutoa takwimu ya fedha na miradi iliyotekelezwa. Na George Augustino. Mkurugenzi wa halmashauri…