migogoro
28 October 2024, 12:49 pm
Kipindi cha Lishe Bora wiki hii
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) chini ya programu wa AGRICONNECT inaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii…
21 October 2024, 11:51 pm
Kipindi cha Lishe Bora wiki hii
Na Baraka David Ole Maika. Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) chini ya programu wa AGRICONNECT inaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa…
21 October 2024, 12:58 pm
TFRA yawanoa wakulima, Amcos na wafanyabiashara Iringa
Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) Nyanda za Juu Kusini imejizatiti kuwajengea uwezo wakulima na mawakala wa mbolea ya ruzuku mkoani Iringa ili kuboresha utendaji wao. Wakizungumza mara baada ya mafunzo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili…
18 October 2024, 2:52 pm
Viongozi wa dini Tabora wahamasisha uandikishaji
Zoezi la kujiorodesha katika daftari la mpiga kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa linafikia tamati oktoba 20 mwaka huu. Na Nyamizi Mdaki Wananchi Mkoani Tabora wakumbushwa kwenda kujiandikisha ili wapate sifa za kuwachagua viongozi wanaowahitaji. Rai hiyo imetolewa…
17 October 2024, 1:27 pm
Kipindi cha Lishe Bora wiki hii.
Na Baraka David Ole Maika. Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) chini ya programu wa AGRICONNECT inaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa…
16 October 2024, 11:30 pm
Dkt. Chana aipongeza hifadhi ya Ngorongoro kukusanya zaidi ya bilioni 96
Waziri wa maliasili na utalii mh balozi dkt Pindi Chana amekuwa akifanya vikao mara kwa mara na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa lengo la kujenga mahusiano mazuri baina ya wizara, NCCA na wananchi waishio pembezoni wa hifadhi ya…
13 October 2024, 5:24 pm
Wenye ulemavu wajipanga kushinda uchaguzi Kagera
“Wasioona ni muhimu wajiamini katika kila jambo wanalofanya kwa kuwa wana haki sawa na watu wengine wote hivyo wanapaswa kupewa ushirikiano katika jamii.“ Na: Theophilida Felician -Kagera Kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 nchini vyama…
10 October 2024, 4:18 pm
Katavi watakiwa kutoa ushirikiano kutokomeza vitendo vya ukatili kwa watoto
Wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ametoa maoni mseto kuhusiana na sababu zinazopelekea wazazi na walezi kuwafanyia ukatili watoto wao. Wakizungumza na Mpanda Radio FM wananchi hao wamesema kuwa ukosefu wa elimu na malezi duni imekuwa ni sababu kubwa…
6 October 2024, 5:21 pm
Moses akutwa na baiskeli aliyoiba kanisani Sengerema
Jamii imekua haiwaamini vijana kutokana na kuwa na tamaa ya mali za haraka jambo lililopelekea kuwa wadokozi na wezi wa vitu mbalimbali kwenye maeneo yao. Na;Emmanuel Twimanye Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 amekamatwa na Jeshi la Polisi jamii…
4 October 2024, 12:31 pm
Kipindi cha lishe bora wiki hii
Na Baraka David Ole Maika. Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii ya Kimasai kuhusu ulaji wa…