Storm FM

Mazingira

31 July 2025, 5:13 pm

Washiriki 1163 kushiriki maonesho ya kilimo nanenane

Maonesho hayo yamebebwa na Kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025. Na; Mariam Kasawa. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amesema kuwa washiriki wapatao 1163 wamethibitisha kushiriki katika Maonesho…

25 July 2025, 12:44 pm

Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa kumzaa Lindi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Alli Ibrahimu Malinda (30), mkazi wa Kijiji cha Ng’apa, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 10. Hukumu hiyo…

17 July 2025, 9:41 pm

Mwalimu ahukumiwa miaka 30 kwa ubakaji

Awali imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti kuanzia tarehe 16 Julai 2024 ambapo alifanya vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi watano wa kike na mmoja wa kiume, wote wenye umri kati ya miaka 14 na…

July 16, 2025, 5:58 pm

Wahamiaji haramu 52 wakamatwa Kagera

Wahamiaji haramu 52 kutoka nchi ya Burundi wamekamatwa wilayani Ngara mkoani Kagera wakiwa wanasafirishwa kuelekea jijini Mwanza. Na Anold Deogratias Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Kagera wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 52 kutoka nchi ya…

13 July 2025, 4:24 pm

Wapelekeni watoto shule na madrasa mapema kwenda kujifunza

“ikiwa wanajamii watahamasika kuwapeleka watoto wao kwenye vituo vya elimu wakiwa na umri mdogo kutapelekea wanafunzi kuwa na muamko wa masomo yao“ Na Juma Haji. Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuwapeleka shule na madrasa watoto wakiwa wadogo ili kupata msingi…

8 July 2025, 8:33 pm

Huduma za afya zaboreshwa Iringa

Katika mipango yake ya kuboresha huduma, Serikali kupitia Wizara ya Afya, ina utaratibu wa kutenga fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya. Na Zaitun Mustapha na Rogasia Kipangula Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa umesema kuwa serikali…

30 June 2025, 8:03 pm

Elimu ya afya ya uzazi yawafikia vijana

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ina umuhimu mkubwa kwa jamii katika kujiletea ustawi wake. Na Joyce Buganda Shirika la SOS Chidrens Villages na taasisi ya TAI  wamekuja kidigitali kwa kutengeneza jumbe zinahusu afya ya uzazi kwa vijana ili…

18 June 2025, 9:43 pm

Eguity Bank kupiga jeki ununuzi zao la pamba Maswa

Hamasa ya ulimaji wa zao la Pamba wilayani Maswa mkoani Simiyu huenda ukaongezeka kufuatia ongezeko la uwekezaji wa viwanda vya kuchakata na kuchambua mali ghafi ya zao la Pamba mkoani hapa. Na,Alex Sayi           Bank ya Eguity imejitanabahisha kufanya mapinduzi…

17 June 2025, 8:34 am

Dkt.Samia arejesha kicheko kwa wakulima wa pamba

“Tunapandisha zao moja baada ya jingine niseme tu kuwa zao la pamba ni wapo ya mkakati uliyopo katika kuleta uhalisia wa gharama anazotumia mkulima ili uchumi wa mtu mmoja mmoja na mkoa wa Simiyu uweze kukua na kuongeza hali ya…