Storm FM

elimu

24 July 2025, 11:34 am

GGML yafadhili mashindano ya michezo shule za sekondari

‘Geita Youth Sports Tournament’ imehitimishwa kwa kuzisogeza karibu shule za sekondari 40 kutoka halmashauri ya Manispaa ya Geita kupitia michezo mbalimbali. Na: Ester Mabula Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Minning Limited (GGML) kwa kushirikiana na halmashauri ya manispaa…

19 July 2025, 9:01 am

EAGMA yapandishwa kilele cha mlima Kilimanjaro

Katika kuendelea kumtukuza Mungu kupitia muziki wa injili mkurugenzi wa tuzo za East Africa Gospel Music Awards apandisha tuzo hiyo kilele cha mlima Kilimanjaro. Na Elizabeth Noel. Moshi -Kilimanjaro Tuzo ya Afrika Mashariki ya Muziki wa injili ( East Africa…

4 July 2025, 09:37

RC Kigoma awataka wafugaji kuchanja mifugo yao

Serikali Kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea na utekelezaji wa Kampeni ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Mkoani Kigoma ambapo Ng’ombe 800 na Kuku 100 wamepatiwa chanjo wilayani Uvinza. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Ispekta Jenerali…

24 June 2025, 12:05

Uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji bado hafifu Kigoma

Wananchi wametakiwa kuzingatia unywaji wa maziwa safi na salama kwa ajili ya afya yao. Na Orida Sayon Ukosefu wa elimu kuhusu afya ya mifugo imetajwa kuwa changamoto ya uzalishaji wa mazao ya maziwa katika halimashauri za wilaya za Kigoma, Buhigwe,…

20 June 2025, 2:55 pm

Wanafunzi kukatiza masomo imebaki historia Lwamgasa

Wanafunzi kukatiza masomo kwasababu ya kupatiwa ujauzito sasa imekuwa historia kwa wakazi wa kijiji cha Lwamgasa Na Edga Rwenduru: Kutokana na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kutoka kijiji cha Lwangasa kwenda shule ya sekondari Kilombelo Wakazi wa kata ya…

June 19, 2025, 12:55 pm

Wasira: Mgombea hatuzuii utumie pesa, ukizidi tunakukata

Wasira amesema baadhi ya watia nia ya nafasi za ubunge hutumia fedha kuwahonga wajumbe na kwamba chama hicho hakipo tayari kupitisha wagombea wanaotanguliza fedha. Na Elias Zephania- Chato, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania bara Stephen Wasira…

5 June 2025, 7:28 PM

Masasi yaandika historia taka ngumu zikigeuzwa fursa

Taka zinazozalishwa majumbani na viwandani, bado ni fursa kwa jamii, badala  ya  kuzitupa mtaani wanaweza kutengeneza  mkaa mbadala ambao ni mzuri kwa afya ya  binaadam na mazingira. Na Neema Nandonde Kutokana na kuanzishwa kwa kituo cha elimu ya  mazingira kilichopo wilayani…