Storm FM

Storm FM

30 April 2024, 6:49 pm

Wananchi zaidi ya 200 wamejitokeza kupima afya na GGML

Watu wengi hawazingatii usalama mahala pa kazi hali ambayo inawafanya kupata madhara ikiwemo ya kiafya yanayowafanya kushindwa kuendelea na kazi. Na Mwandishi wetu: ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)…

30 April 2024, 6:04 pm

Geita queens yavuna alama 1 ligi ya wanawake

Ikiwa ni mwendelezo wa Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara, Geita queens yaonesha matumaini kwa kupata sare. Na: Juma Zacharia – Geita Kikosi cha Geita Gold Queens kutoka mkoani Geita kimeendelea kukosa ushindi katika mwendelezo wa ligi kuu wanawake Tanzania…

30 April 2024, 3:39 pm

Familia zinazoishi mazingira magumu zapatiwa msaada

Hali duni ya maisha inayopelekea kukosa mahitaji mbalimbali inatajwa kuwa chanzo cha baadhi ya watoto kushindwa kupata haki ya eleimu kutokana na wazazi kushindwa kumudu gharama na kupelekea ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Na: Edga Rwenduru – Geita…

29 April 2024, 3:18 pm

Biteko atembelea banda la GGML maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri mkuu na waziri wa nishati Dkt. Dotto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya vifo na majeruhi katika shughuli za uchimbaji mgodini na kuwasisitiza waajiri wengine kuhakikisha wakati…

26 April 2024, 11:47 am

Shirika la Plan International lawafuta machozi wasichana

Mradi wa KAGIS (Keeping Adolescent girls in shool) ambao unaratibiwa na shirika la Plan international umeendelea kuacha alama kwenye sekta ya elimu mkoani Geita kwa kuendelea kupunguza changamoto zinazowakabili watoto wa kike kuendelea na masomo. Na Kale Chongela – Geita…

25 April 2024, 10:43 am

Geita Queens yazidi kudidimia ligi ya wanawake

Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara inaendelea ambapo timu mbalimbali za Tanzania zinashiriki katika ligi hiyo Na Juma Zacharia – Geita Kikosi cha Geita gold queens cha mkoani Geita kimedondosha alama tatu katika mwendelezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania…

25 April 2024, 10:30 am

Mpanduji ajiua kwa kujichoma kisu kisa wivu wa mapenzi

Ingawa ni ngumu kuelewa sababu ya mtu kujaribu kujiua, watu wanaojaribu kujiua ndio wanajua ukweli wa jambo hilo, kwa mujibu wa Shirika la afya duniani  (WHO),zaidi ya watu 700,000 hufariki kwa kujiua kila mwaka. Na Ester Mabula – Geita Mpanduji…

25 April 2024, 10:04 am

Umoja wa madereva bajaji mji wa Katoro wakutana

Usafiri wa pikipiki zenye magurudumu matatu maarufu bajaji nchini umekuwa ukitegemewa na wananchi kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya maeneo nchini huku baadhi ya vijana wakijiajiri na kuweza kuendesha maisha yao. Na Evance Mlyakado – Geita Umoja wa waendesha bajaji…