Sibuka FM

Jamii

5 September 2025, 2:44 pm

Magembe wa Sunzula atupwa jela miaka 30

“Hatuwezi kuendelea kuona wanafunzi wa kike wanashindwa kufikia malengo yao kisa tu kunamwanaume mmoja mwenye tamaaa zake na wanafunzi lazima sheria ifuate mkondo wake serikali yetu imeweka mazingira ya elimu ili kila mtanzania apate elimu”. Na,Anitha Balingilaki Mahakama ya wilaya…

5 September 2025, 6:02 am

Nikichaguliwa nafufua viwanda Musoma-Kasereka

Nitahakikisha nafufua viwananda vya Musoma na kujenga bandari ili kusaidia kupatikana meli kubwa itakayofanya safari zake kati ya Musoma, Kenya na Uganda. Na Adelinus Banenwa Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Ndg. John…

5 September 2025, 5:57 am

UDP kuwajaza watu fedha endapo itaingia madarakani

Lengo la chama hicho ni kuwajaza wananchi pesa kwa kuimarisha sekta mbalimbali ili kukuza uchumi na kuwawezesha watu kujiingizia kipato. Na Adelinus Banenwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha United Democratic Party (UDP), Saum…

2 September 2025, 7:11 pm

DP kuzindua kampeini zao Sept 17

Chama cha DP wamejipanga kufungua kapeini na kuwaeleza watanzania juu ya sera zao na ilani yao hasa kwa upande wa afya ambapo matibabu yatakuwa ni bure na akinamama waliojifungua watalipwa. Na Adelinus Banenwa Makamu mwenyekiti wa chama cha Democratic Party…

1 September 2025, 7:41 pm

Mgombea urais kupitia CUF atangaza neema akiwa rais

Ameahidi huduma za afya bure kwa wananchi bila gharama zozote, ajira kwa wasomi katika sekta za elimu na uvuvi, pamoja na elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Na Adelinus Banenwa Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Gombo…

25 August 2025, 1:01 pm

Watoto watatu wafariki kwa kukosa hewa Busega

“Walezi/Wazazi tunalo jukumu kubwa la kuwalinda watoto wetu wakati wote bila kujali mazingira waliyopo ili kuwakinga na vitu vinyoweza kuzuilika maana watoto ni tunu ya taifa lijalo”.  Na,Anitha Balingilaki  Watoto  watatu wa  kutoka kwenye  familia tatu wawili wakiwa wa kitongoji…

21 August 2025, 6:15 pm

Machilu naye achukua fomu INEC ataja kumaliza makundi

Mgombea wa udiwani kata ya Manyamanyama kupitia chama cha mapinduzi CCM ametangaza juu ya kuvunjwa kwa makundi yote yaliyokuwepo wakati wa kutafuta mgombea wa CCM kata. Na Adelinus Banenwa Mgombea wa udiwani kata ya Manyamanyama kupitia chama cha mapinduzi CCM…

18 August 2025, 5:45 pm

Mwanachama wa DP achukua fomu mbili kwa wakati mmoja

Ni mgombea wa cha Democratic Party DP ambaye leo tarehe 18 Augost amechukua fomu za tume huru ya taifa ya uchaguzi ngazi ya jimbo akitaka kugombea ubunge na ngazi ya kata akitaka kugombea udiwani. Na Adelinus Banenwa Abubakari Makene Johnson…

18 August 2025, 10:23 am

Watuma salamu nchini wapeleka faraja kwa wagonjwa Simiyu

“Kufanya matendo ya huruma kwa wahitaji siyo utajiri bali ni kuwakumbuka wenye uhitaji kama vitabu vitakatifu vya dini vinavyosema kuwa dini ya kweli ni kuwakumbuka wenye uhitaji hivyo basi jamii yenye uwezo ni bora ikawa na moyo wa kuwakumbuka wenzetu…

4 August 2025, 6:22 pm

Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata Bunda DC waapishwa

kiapo walichokiapa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi mbele ya Mhe hakimu wa mahakama ya Mwanzo Oscar Lyimo ni kujiondoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa na pili ni kiapo cha kutunza siri Na Adelinus Banenwa Jumla ya wasimamizi wasaidizi wa…

25 July 2025, 4:23 pm

Waandishi wawekwa mguu sawa kuelekea uchaguzi

Mambo ya kuzingatia kama kufanya maandalizi wakati wa kwenda kuripoti kwa kuhakikisha usalama wako kimazingira na hata kwenye mavazi. Na Catherine Msafiri Waandishi wa habari kutoka radio za kijamii wameaswa kuhakikisha wanakua na maandalizi mazuri ya namna ya kuripoti habari…

24 July 2025, 3:35 pm

Tanzania, Kenya kushirikiana utunzaji vyanzo vya maji

“Lengo la msingi ndugu zetu wa Kenya na Tanzania  wameweza kuangalia ni wapi maji yanakotoka, wapi yanatakiwa yasafiri na watumiaji ni wapi. Safari hii itakuwa ya siku tatu na katika siku hizo watu watakuwa na nafasi ya kujifunza, kuangalia vyanzo…

22 July 2025, 5:14 pm

UWT Bunda yapata madiwani 11 viti maalum

uchaguzi huu umefanyika kwa mujibu wa ratiba na tayari kwa upande wa Bunda jumla ya madiwani viti maalumu 11 wamepatikana Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda Bi Marysiana Sabuni amesema…

July 18, 2025, 2:47 pm

Wakulima Kivul walia na miundombinu

‎Wakulima wa Kijiji cha Kivul, kitongoji cha Olmatejo jijini Arusha, wameiomba serikali kuwasaidia kuboresha miundombinu ya kilimo hasa ya maji ya umwagiliaji ambayo imekuwa changamoto kubwa kutokana na mvua. Na Jenipha Lazaro ‎Wakizungumza wakati wa zoezi la kurekebisha mifereji na…

15 July 2025, 19:02

Jamii yatakiwa kuripoti ukatili bila kuogopa

Zamani matukio ya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto yalikuwepo, lakini yalikuwa hayaripotiwi kwa uwazi au kwa kiwango kikubwa kama ilivyo sasa. Hali hii ilisababishwa na utamaduni wa kumaliza kindugu, uoga au aibu, kutokuwa na mifumo rafiki ya…

15 July 2025, 13:20

Viongozi, wafuasi vyama vya siasa watakiwa kutenda haki

Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwezi oktoba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa wametakiwa kutenda haki Na Hagai Ruyagila Wajumbe wa vyama vya siasa mkoani Kigoma wanaoshiriki katika mchakato wa kura za maoni kwa…