Sibuka FM

Jamii

18 December 2025, 12:34 pm

Jela miezi 9 kwa kuua kwa maneno baba yake Itilima

“Vijana vijana vijana nawaita mara tatu tafuteni mali zenu za halali kwa kutoa nguvu, akili, uwezo uliopewa na Mungu achaneni kuanza kutamani urithi angali wazazi wako bado wapo hai hapo ni kuliaibisha kundi la vijana taifa la leo na kesho…

17 December 2025, 4:57 pm

RC Sendiga awataka wananchi Mbulu kutunza chakula

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen sendiga Amewataka wananchi wa Mkoa wa Manyara kuhifadhi chakula ili kuondokana na bar la njaa wakati wa Mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na Emmy Peter Sendiga  ameyasema hayo wakati wa ziara yake wilaya ya…

21 November 2025, 12:45 pm

ASP Abdallah maafisa usafirishaji jiepusheni na maandamano

“Amani ya nchi ndiyo msingi wa maendeleo katika taifa lolote lile amani ikikosekana hapo maendeleo hakuna maana hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kufanya shughuli za uchumi muda huo anawaza kukimbia machafuko mfano mzuri tu angalia miji kama Goma,Kivu ni miji…

11 November 2025, 10:43 am

Kondoo, mbuzi 33 wauliwa na chui Mkoani Simiyu

“Tulianza na matukio ya  Fisi kushambulia mifugo ya wananchi katika baadhi ya maeneo mkoani Simiyu na sasa hivi Chui nao wanapita mule mule kuwatia hasara wananchi kwa akili yangu tu ndogo najiuliza hizi hasara nani anazilipa maana kama kuna mamlaka…

27 October 2025, 8:53 pm

DC Kaminyoge: “ukimaliza kupiga kura rudi nyumbani”

Wananchi baada ya kupiga kura wanarejea majumbani mwao kwa utulivu, ili kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima katika maeneo ya vituo vya kupigia kura. Na Thomas Masalu Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, amewatoa hofu wananchi wa wilaya…

23 October 2025, 5:10 pm

Zaidi ya milioni 156 zimetolewa kwa wajasiliamali Itilima

“Tunataka kuwa na wananchi wenye uchumi himilivu katika taifa hili ili kusaidia kupunguza umasikini uliokithili,kupunguza vifo vitokanavyo na watu kukosa pesa ya kujikimu kimatibabu ikuwa pamoja na kuondoa changamoto ya wimbi la watoto mitaani”.  Na,Daniel Manyanga  Zaidi ya milioni 156…

22 October 2025, 2:46 pm

Leseni ya udereva, Paspoti na NIDA kumchagua kiongozi

“Kuchagua kiongozi unayemtaka ni takwa la kikatiba katika kuleta maendeleo kwenye eneo husika ndiyo maana sasa unapofika uchaguzi tunawataka wananchi waweze kuitumia hiyo haki ya kuchagua kiongozi wamtakao wenyewe”. Na,Daniel Manyanga  Wilayani Maswa mkoani Simiyu imeelezwa kuwa wale wote waliopoteza…

21 October 2025, 8:39 pm

Magumba wa Lali jela miaka 30 kwa kubaka mwanae

“Jamii inahitaji sasa elimu ya hali ya juu ya kulinda tamaa za kimwili maana pamoja na kuwa na sheria kali zilizotungwa lakini bado tu jamii inafanya vitendo vya ukatili kwa watoto.”  Na,Daniel Manyanga  Mahakama ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu…

20 October 2025, 9:02 pm

DC Maswa wezi wa vifaa vya trekta kupandishwa kotini

“Kuna misemo huko mtaani kuwa mali ya serikali haina mwenyewe nataka kuwaambia kuwa haya matrekta mwenyewe yupo ukifanya unavyojuwa wewe tutakuchukulia hatua kali za kisheria”.  Na,Daniel Manyanga  Mkuu wa wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, Dkt.Vicent Naano Anney ameitaka bodi Pamba…

13 October 2025, 10:55

Zitto aahidi kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kuwatetea wananchi wa Kigoma hususani wenye changamoto ya kupata vitambulisho vya uraia, kuboresha miundombinu ya barabara za mitaa na kuufanya mji wa Kigoma kuwa wa kimkakati Na Mwandishi wetu Mgombea ubunge katika Jimbola Kigoma…

10 October 2025, 08:05

Dkt. Nchimbi kufanya ziara ya kampeni Kigoma

Mgombea Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt.Balozi Emmanuel John Nchimbi anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili ya kampeni Mkoani Kigoma kuanzia Kigoma Oktoba 12 na 13.…

7 October 2025, 2:02 pm

Kaka, dada wa Mandang’ombe jela miaka 20 na 30

“Duniani hapa watu ni wengi lakini binadamu ni wachache na ukishangaa ya hapa duniani basi unabidi pia ushangae ya Mussa Shija na Hollo Shija kuoana hali ya kwamba ni kaka na dada tena mama mmoja na baba mmoja sasa hapa…

28 September 2025, 2:46 pm

TAKUKURU: Mgombea ukiombwa rushwa toa taarifa

Iwapo mgombea atakutana na vitendo vya kuombwa rushwa atoe taarifa TAKUKURU ili wachunguze na kubaini na kuchukua hatua. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wagombea wa nafasi za Urais Ubunge au Udiwani ambao wanaombwa rushwa na wapiga kura kutoa taariifa…

September 26, 2025, 9:07 am

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…

18 September 2025, 10:09

ACT Wazalendo kuifanya Kagera kuwa eneo la kimkakati

Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kuhakikisha kinatatua changamoto zinawakabili wananchi wa Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa kuboresha na kuendelea miradi iliyoanzishwa na chama hichi kwa kipindi walichokuwepo madarakani ikiwemo barabara na maji Na Mwandishi wetu Mgombea ubunge…

10 September 2025, 14:18

Dkt. Samia kutua Kasulu Septemba 13

Wananchi wa Wilaya ya Kasulu wameeleza furaha yao kwa ujio wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mgombea Urais kuwa utatoa nafasi kwa wananchi kueleza mahitaji yao Na Hagai Ruyagila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye…

10 September 2025, 8:31 am

Luth wa Mwanundi jela miaka 30 kwa kumbaka mwanaye

“Kuna kila sababu sasa kwa mamlaka za kutunga sheria kukubali kuwa sheria walizotunga siyo kali na wala wananchi waovu hawaziogopi tena hizo adhabu maana kila kukicha matukio ya ukatili wa kinjisia yanatokea sasa ipo haja ya kurudi tena darasani tuje…