Sibuka FM
Sibuka FM
17 December 2025, 9:18 pm
Kikundi hicho kabla ya kufanya mkutano mkuu wa mwaka , kimefanya matembezi kuelekea katika kituo cha afya Nyarugusu kwa ajili kutoa zawadi kwa wagonjwa , vifaa tiba pamoja na kuchangia damu. Na Mrisho Sadick: Viongozi wa dini katika Kata ya…
12 December 2025, 1:55 pm
RUWASA imetakiwa kuhakikisha inapunguza upotevu wa maji na malalamiko ya bili kwa kufunga mita za wateja majumbani badala ya sehemu zilizo mbali na makazi yao. Na Mrisho Sadick: Hali ya upatikanaji wa maji safi na salama wilayani Nyang’hwale mkoani Geita…
5 December 2025, 10:58 am
“Ulinzi kwa watoto wakati wa likizo ni vyema ukazingatiwa ili kuwalidhi shidi ya matukio ya ukatili” Na Fredrick Siwale Wazazi na Walezi Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuwalinda Watoto wao kipindi cha likizo ya mwisho wa mwaka…
December 4, 2025, 7:30 pm
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu amewataka madiwani wenzake kutambua kuwa nafasi walizokabidhiwa ni za muda, hivyo wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili waache alama chanya kwa wananchi wanaowatumikia. Na; Emily Adam Madiwani wateule wa Halmashauri ya…
December 4, 2025, 6:19 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamepewa maelekezo ya kufanya baada ya kula viapo vyao vya kuwatumikia wananchi katika kata zao. Na; Emily Adam Watumishi wa sekata mbalimbali na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu…
3 December 2025, 7:18 pm
Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…
December 3, 2025, 5:07 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameahidi kusimamia miradi yote ya maendeleo pamoja na kusimamia ukasanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo ili kuiwezesha serikali kujitegemea kupitia mapato ya ndani. Na; Sharifat Shinji Madiwani wateule katika Halmashauri ya…
30 November 2025, 2:35 pm
Iwapo wananchi hawatachukua hatua za haraka za kujitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa yasioambukiza yanaweza kuleta madhara makubwa ikiwemo figo kufeli. Na Mrisho Sadick: Chama cha ugonjwa wa kisukari Tanzania kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Geita…
26 November 2025, 6:08 pm
Tafiti zinaonesha kuwa Kwenye watu 100 watu 9 hadi 10 wanaugonjwa wa kisukari nchini huku jamii ikisisitizwa kuendelea kupima afya zao mara kwa mara. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya watu 500 kutoka maeneo mbalimbali ya mji mdogo wa Katoro wilayani…
24 November 2025, 3:41 pm
Walimu na maafisa kilimo kushirikiana kuongeza uzalishaji wa chakula shuleni kupitia mashamba ya shule Na Mrisho Sadick: Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita imetenga kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 86 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe kwa mwaka…
20 November 2025, 12:06 pm
“wanasema kwamba mashamba yamechoka wanaenda kulima mbali” Na Restuta Nyondo Wakati mkutano wa COP30 ukiendelea wakulima wameeleza matumizi ya mbolea vunde (asili) inavyowasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika uzalishaji wa mazao Katika kipindi hiki utawasikia wakulima na…
20 November 2025, 11:58 am
“Ofisi ya makamu wa raisi na waziri mkuu ziunganishe mfuko wa maafa” Na Restuta Nyondo Tanzania imepata nafasi ya kipekee ya kunufaika na ruzuku ya dola za Marekani milioni 20 (takriban Sh. bilioni 48), kutoka Mfuko wa kukabiliana na Hasara…
17 November 2025, 10:20 am
Na Restuta Nyondo Karibu kusikiliza makala fupi inayozungumzia athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa zao la alizeti mkoani Katavi wakati mkutano wa 30 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP30) ukiwa unaendelea…
13 November 2025, 3:48 pm
Jamii imeaswa kuacha tabia ya kutumia mitandao ya kijamii kuwaumiza na kuwadhalilisha watu wengine, kufanya hivyo ni uvunja haki za watu na kinyume na sheria za nchi. Na Omar Hassan Jamii imeaswa kuacha tabia ya kutumia mitandao ya kijamii kuwaumiza…
13 November 2025, 1:50 pm
Suala la wananchi wa Butengorumasa kujitolea kwa hiari yao kuanzisha ujenzi wa Zahanati imekuwa mkombozi kwao baada ya TFS kuingilia kati nakukamilisha ujenzi huo. Na Mrisho Sadick: Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS kwa kushirikiana na wakazi wa kijiji…
12 November 2025, 3:57 pm
Na Omar Hassan. Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia Katiba na Sheria Afisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mzee Ali Haji ameshauri kuangaliwa kwa kina sababu zinazopelekea kuongezea kwa vitendo vya udalilishaji wa kijinsia ili hatua za kupunguza udhalilishaji…
9 November 2025, 8:42 pm
28 October 2025, 9:52 am
Afisa TAKUKURU mkoa wa Katavi Leonard Minja. Picha na Anna Mhina Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imeweka bayana athari zitokanazo na rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.…
25 October 2025, 16:37
kutokana kiongozi mbio za mwenge mwaka huu kuitaja halmashauri ya Mbeya kuibuka washindi wa mbio hizo wamefanya tafrija ya kujipongeza pamoja na wananchi. Na Ezra Mwilwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi (SACP) Benjamin Kuzaga ameongoza mbio…
24 October 2025, 7:52 pm
Soko hilo la Kilabu cha Mtendeni linahudumia watu wengi kila siku, na bila choo, mazingira yameanza kuwa hatarishi kwa kusababisha uchafuzi unaoweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu. Na Beatrice Majaliwa Wafanyabiashara wa soko la kilabu cha Mtendeni lililopo katika…