Sibuka FM

Bodaboda

26 November 2025, 12:24 pm

MVIWATA-jitokezeni changamoto za ukatili wa kijinsia Manyara

Kuelekea  siku 16 za kupinga  ukatili wa kijinsia, wakulima wadogo Mkoa wa Manyara wametakiwa  kujitokeza katika Madawati ya kisheria  ili  kupeleka changamoto za ukatili wanazo kutananazo. Na Emmy Peter Hayo yamesemwa leo  na  Mhandisi Agrey Mahole ambae amemuwakilisha mkuu wa…

14 November 2025, 10:13 AM

Mtoto achomwa mikono kisa korosho

“Mtuhumiwa huyu ambaye ni Katibu wa UVCCM kata ya Namalenga licha ya kumchoma moto mtoto wake wa kambo, lakini pia amemuadhibu vibaya mtoto mwingine ambaye alishirikiana nae wakati wa kuuza korosho” Na Neema Nandonde Salumu Hussein Maona  mkazi  wa kitongoji…

27 October 2025, 12:42

Wananchi watakiwa kudumisha usafi wa mazingira Kasulu

Serikali imeendelea kuhamasisha wananchi kuzingatia suala usafi wa mazingira kama ambavyo sheria ya mazingira ya 2016 inavyoelekeza kila mwananchi kuhakikisha mazingira yanayomzunguka yanakuwa safi salama Na Hagai Ruyagila Wananchi katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanadumisha usafi wa…

October 19, 2025, 11:10 pm

NIDA, Leseni au Pasi ya Kusafiria kutumika kupigia kura

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini, Shabani Ferdinand Manyamba, ametangaza rasmi kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, kwa mujibu wa Kifungu cha 69(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais,…

15 October 2025, 3:53 pm

Polisi Unguja waunasa mtandao wa wizi wa pikipiki

Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Kanda ya Zanzibar limeendesha operesheni maalum katika mikoa mitatu ya Unguja kufuatia kuongezeka kwa matukio ya wizi wa pikipiki, ambapo jumla ya watu 17 wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa wizi na…

21 September 2025, 3:32 pm

Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili

Wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalinda watoto wao ambao wamehitimu darasa la saba katika kipindi hiki ambacho wanajiandaa kuingia kidato cha kwanza  ili wasifanyiwe vitendo vya ukatili. Na Mzidalfa Zaid Wito huo huo umetolewa na mkuu wa shule ya Greenland Primary…

3 September 2025, 7:01 pm

Jamii Manyara yatakiwa kuwapa watoto lishe bora

Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuhakikisha watoto wote kuanzia umri wa miaka 0 hadi 8 wanapata lishe bora na huduma za malezi jumuishi ili iwasadie katika ukuaji . Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa…

2 September 2025, 11:09

Wananchi waaswa kuzingatia usafi wa mazingira Kasulu

Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imewataka wananchi kuzingatia usafi wa mazingira ili kuepuka mlipuko wa magonjwa Na Hagai Ruyaila Wananchi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuongeza juhudi katika utunzaji wa mazingira kwa kuacha kutupa taka…

August 21, 2025, 2:07 am

Shilingi bilioni 45 kujenga madaraja matano Kagera

Shilingi bilioni 45 zinatarajiwa kutumika kujenga madaraja matano mkoani Kagera ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua hali inayokwamisha shughuli za usafiri na ufarishaji mkoani Kagera. Na Avitus Kyaruzi Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja matano ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati…

30 July 2025, 13:04

Kasulu yaimarisha usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko

Usafi na mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya binadamu ambapo usafi humaanisha hali ya kuwa safi kimwili, nyumbani, shuleni, na katika maeneo ya kazi. Na Hagai Ruyagila Uwepo wa vyombo maalumu vya kuzoa taka katika Halmashauri ya mji wa…

15 July 2025, 7:23 pm

John Mrema: Kagera puuzeni wanaopinga uchaguzi

Mkurugenzi wa mawasiliano na taarifa kwa umma wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) John Mrema (upande wa kulia). Picha na Theophilida Felician Chama cha Ukombozi wa Umma kimeanza ziara yake Kanda ya Viktoria kufuatilia idadi ya watia nia ya…

13 July 2025, 11:39 pm

DC Kaganda awataka waandishi wa habari kukemea ukatili

Mkuu wa wilaya ya Babati mkoani Manyara Emmanuela Kaganda, amewataka waandishi wa habari mkoani Manyara kuendelea kuibua na kuripoti matukio ya kikatili ili wahusike wachukuliwe hatua kali za kisheria na vitendo hivyo vidhibitiwe . Na Mzidalfa Zaid Kaganda ametoa kauli…

July 7, 2025, 8:53 pm

Vikundi vya wafugaji Muleba vyagawiwa ng’ombe

Vikundi 6 ni vya wanawake ambavyo vimekopeshwa shilingi milioni 159, vikundi vya Vijana 5 vimekopeshwa shilingi milioni 132.5 huku kikundi kimoja cha wanawake ambacho kimekopeshwa jumla ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na maziwa. Na…

7 July 2025, 09:56

TAWEA yatoa elimu ya uhifadhi wa misitu Makere na Moyowosi

Ushirikishwaji katika kwa wananchi na viongozi wa serikali ni jambo muhimu na litasaidia kupatikana kwa ushirikiano katima maeneo yote ambayo mradi huo utatekelezwa Na Mwandishi wetu Shirika la Tanzania wote Equality Alliance (TAWEA) limezindua mradi wa utunzaji wa Mazingira katika…

4 July 2025, 16:05

CRS yatoa elimu ya kubadili taka kuwa fursa

Kubadili taka kuwa fursa ni mchakato wa ubunifu unaohusisha matumizi ya maarifa, teknolojia na ujasiriamali ili kutumia taka kama rasilimali yenye thamani badala ya kuona taka kama uchafu. Na Josephine Kiravu Zaidi ya wafanyabiashara 250 na wadau mbalimbali wa mazingira…