Sengerema FM

Maombolezo

16 April 2024, 4:00 pm

Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

Matukio ya kujeruhi na kuua wenza wao yamezidi kushamili katika maeneo ya Kanda ya ziwa hasa katika wilaya ya Sengerema ambapo zaidi ya matukio matano yameripotiwa kutokea ndani ya miezi mitatu. Na:Said Mahera Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson…

14 March 2024, 3:20 pm

Yusuph Hodari akutwa amefariki uwanjani Sengerema

Jeshi la polisi wilayani Sengerema limefika eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu Yusuph Hodari aliyekutwa amefariki dunia eneo la Mnadani, kisha kuupeleka katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Na:Emmanuel Twimanye Mtu mmoja…

13 March 2024, 7:09 pm

Fisi aua mtoto wa miaka 9, ajeruhi mwingine Sengerema

Matukio ya watoto kushambuliwa na fisi wilayani Sengerema yamezidi kushamili maeneo mbalimbali ambapo akizungumza katika Baraza la Madiwani hivi karibuni Diwani wa kata ya Chifunfu Robert Madaha alidai kuwa fisi waliopo Sengerema wanamilikiwa na watu kwani wana majina na namba…

7 March 2024, 10:33 pm

Amuua kwa madai ya kugoma kurudiana nae

Matukio ya wanadoa kutarakiana wakiwa wanapendana yamekuwa chanzo cha mauaji kwa wanawake kutokana na wanaume kushindwa kuvumilia hali hiyo, ambapo kwa wilaya ya Sengerema zaidi ya matukio matatu yametokea kwa mwaka huu. Na:Emmanuel Twimanye. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka…