Radio Kwizera
Radio Kwizera
December 12, 2025, 7:50 pm
Baadhi ya wananchi mkoani Kigoma wameeleza ugumu wanaopitia katika swala la kutoa taarifa za maswala ya ukatili wa kijinsia wakihofia usalama wao baada ya kutoa taarifa hizo. Na; Irene Charles Katibu tawala mkoa wa Kigoma Ndg. Hassan Rugwa amesema viongozi…
10 December 2025, 3:36 pm
Picha ni soko la wazi la Machinga Complex jijini Dodoma. Picha na Dodoma FM. Hali ya ulinzi na usalama imeendelea kuimarishwa na vyombo vya usalama, huku wafanyabiashara wakijitokeza na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Na Lilian Leopold. Wafanyabiashara wa…
8 December 2025, 16:23
Wito umetolewa kwa jamii kuendelea kukemea vitendo vya ukatilii ambavyo vimekuwa vikifanyika kwa jamii Na Prisca Kizeba Wanawake Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameaswa kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili unaoendela katika jamii Hayo yamesemwa na Afisa Ustawi…
1 December 2025, 12:21
Wadau mbalimbali Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kuendelea kujitokeza na kuwasaidia watoto wenye uhitaji Na Hagai Ruyagila Umoja wa Kikundi cha Watendaji wa Serikali za Mitaa (MEOS) cha Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma kimetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa…
27 November 2025, 11:24 am
Kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 Dunia hufanya kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia lengo likiwa ni kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake na watoto ambao wamekua wahanga wakubwa wa kufanyiwa ukatili wa kijinsia.…
26 November 2025, 12:24 pm
Kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, wakulima wadogo Mkoa wa Manyara wametakiwa kujitokeza katika Madawati ya kisheria ili kupeleka changamoto za ukatili wanazo kutananazo. Na Emmy Peter Hayo yamesemwa leo na Mhandisi Agrey Mahole ambae amemuwakilisha mkuu wa…
19 November 2025, 12:22
Na Lucas Hoha Kikundi cha umoja wa majirani wanaume waishio Kata ya Kibirizi Mtaa wa Buronge Manispaa ya Kigoma Ujiji wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Silabu lengo likiwa ni kuonesha umoja katika kuisaidia…
17 October 2025, 10:57 am
Kurunzi Maalum Orkonerei FM Radio kupitia kipindi cha Kurunzi Maalumu inamulika sekta ya maji, ikizungumzia changamoto za bili (ankara) za maji katika Kata ya Terati, Wananchi wengi wanalalamika kupokea bili zinazokuja na gharama kubwa, na wakati mwingine wanaona ni kubwa…
17 October 2025, 8:18 am
Na Isack Dickson Wakazi wa Kijiji cha Terrat, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wanakabiliwa na changamoto ya kupokea bili za maji ambazo hazilingani na matumizi yao halisi, huku wakidai kuwa bei hizo ni kubwa na zinawatesa. Baadhi yao wanasema kuwa bili…
10 September 2025, 16:03
“Ukichagua CCM umechagua afya bora,barabara nzuri,maji salama,elimu na umeme vijijini” Na James Mwakyembe Mamia ya wananchi wamejitokeza katika uzinduzi wa kamapeni za kumnadi mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM jimbo la Ileje mkoani Songwe Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya…