Pangani FM
Pangani FM
12 December 2025, 7:49 pm
Wakati wananchi wakiwa katika maandalizi ya sikuu za mwisho wa mwaka , Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Manyara, imewataka wananchi mkoani humo kuadhimisha sikukuu hizo kwa kukataa Rushwa. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na…
11 December 2025, 5:22 pm
Afisa kilimo Elton Dickson Mtani kilimo mseto ni miongoni mwa mbinu bora zinazoweza kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi. Na Catherine Msafiri, Katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wakulima wameshauriwa kutumia kilimo mseto…
November 20, 2025, 3:02 pm
Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema amewagundua ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…
28 October 2025, 12:34 pm
“Lengo la mafunzo hayo ni kuwaona wanahabari katika ngazi ya kitaifa wakiweza kuhabarisha jamii juu ya mkutano huo kwa kuandika habari za kabla, wakati na baada ya mkutano” Na Joyce Buganda Wanahabari wametakiwa kuandika habari zenye kufikia jamii hasa katika…
23 October 2025, 11:29 am
“Udereva ni taaluma kama taaluma nyingine na ni vyema wakazingatia weledi wanaootekeleza majukumu yao” Na Adelphina Kutika Madereva wa Magari ya Masafa marefu ndani na nje ya Tanzania wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia msingi kama ya Jeshi la Polisi…
13 October 2025, 1:05 pm
Karibu msikilizaji katika makala maalum inayozungumzia udhibiti wa rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo Taaisisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuepuka rushwa kabla,wakati na baada ya uchaguzi. Karibu usikilize makala
September 21, 2025, 8:56 pm
Umoja wa Machifu umefanya dua maalumu kusisitiza amani, utulivu na mshikamano Na Devi Mgale UMOJA wa Machifu Mkoa wa Songwe umefanya dua maalumu ya kuombea uchaguzi wa mwaka huu uwe wa amani na utulivu. Dua hiyo imefanyika Septemba 20, katika…
5 September 2025, 2:44 pm
“Hatuwezi kuendelea kuona wanafunzi wa kike wanashindwa kufikia malengo yao kisa tu kunamwanaume mmoja mwenye tamaaa zake na wanafunzi lazima sheria ifuate mkondo wake serikali yetu imeweka mazingira ya elimu ili kila mtanzania apate elimu”. Na,Anitha Balingilaki Mahakama ya wilaya…
4 September 2025, 5:09 pm
Na Mary Julius. Mkuu wa Mkurugenzi wa Elimu ya Wapiga Kura na Mawasiliano kwa Umma wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Juma S. Sheha, amesema tume hiyo imejipanga kikamilifu kuhakikisha watu wenye mahitaji maalum wanashiriki ipasavyo katika Uchaguzi Mkuu wa…
6 August 2025, 11:36 am
Na Isack Dickson Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Simanjiro, Ndugu Amos Shimba, ametangaza rasmi matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia mahojiano maalum na Orkonerei FM Radio. Kwa mujibu wa Katibu…