Pangani FM

KIFO

13 November 2025, 11:21 am

PPRA yatoa mafunzo kwa makundi maalumu Mtwara

PPRA imeendesha mafunzo kwa makundi maalumu mkoani Mtwara kuhusu taratibu za ununuzi wa umma, yakilenga kuongeza uelewa na ushiriki wao katika zabuni za serikali. Mafunzo hayo yamezinduliwa na Katibu Tawala wa Mkoa, Bi. Bahati Geuzye, na yataendelea hadi Desemba katika…

29 September 2025, 12:44 pm

Mgombea udiwani Chuno ataka ushirikiano wa wanawake katika siasa

Mgombea udiwani Kata ya Chuno kupitia CCM, Mariamu Chimbwahi, amewataka wanawake kuanza uongozi ngazi za chini ili kujijengea uzoefu, huku akihimiza ushirikiano baina yao na kushiriki katika shughuli za kiuchumi ili kujitegemea Na Musa Mtepa Wanawake wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi…

11 September 2025, 6:05 pm

Hai waombwa kujitokeza kumpokea Dkt. Nchimbi

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuhutubia wananchi wa Hai, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Hai Muhamed Msalu ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi. Na Elizabeth Noel & Henry keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameombwa kujitokeza kwa…

9 September 2025, 8:38 pm

Kinara wa uzalishaji bangi Mara akamatwa na tani 6.5

Aretas amesema mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa kutokana na matendo yake ya kuendelea kuzalisha na kuuza bangi kinyume na sheria. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imemkamata Masero Ryoba Muhabe 44 anayetajwa kuwa kinara…

August 28, 2025, 5:39 pm

Jamii zatakiwa kuthamini haki za Punda kama wanyama kazi

Jamii za kifugaji zimetakiwa kuwathamini wanyama kazi hususani mnyama punda, ikiwa ni pamoja na kuondokana na dhana potofu zinazowanyima haki zao kama vile uchinjaji holela, kuwabebesha mizigo kupita kiasi, pamoja na kutowapatia huduma za afya na ustawi wa jumla. Na…

28 August 2025, 10:58 am

RC Iringa apiga marufuku uuzaji ardhi kiholela

“Wananchi wanatakiwa kulinda maeneo yao ili mradi huo unapokamilika waweze kunufaika zaidi kiuchumi” RC Kheri. Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amepiga marufuku rasmi uuzaji holela wa ardhi unaofanywa na baadhi ya wananchi , hususani…

August 21, 2025, 2:07 am

Shilingi bilioni 45 kujenga madaraja matano Kagera

Shilingi bilioni 45 zinatarajiwa kutumika kujenga madaraja matano mkoani Kagera ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua hali inayokwamisha shughuli za usafiri na ufarishaji mkoani Kagera. Na Avitus Kyaruzi Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja matano ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati…

August 6, 2025, 8:11 pm

Mgodi wa Barrick Bulyanhulu wajenga soko la kisasa

Fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR) imefanikisha ujenzi wa soko la kisasa Na Sebastian Mnakaya Kampuni ya Barrick inazidi kutekeleza dhamira ya kuboresha maisha ya wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka migodi yake ya Bulyanhulu kupitia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR)…