Nuru FM
Nuru FM
5 December 2025, 5:45 pm
Na Hamisi Makungu. Kipindi cha Sauti ya Mwanamke kimeangazia Mabadiliko ya tabianchi yanavyopelekea ukatili wa kijinsia, hasa kwa wanawake waliopo kwenye mnyororo wa uchumi wa buluu. Katika Mjadala kupitia kipindi hiki, wanawake wachuuzi wa Samaki wamepaza sauti zao juu ya…
25 October 2025, 10:01 am
TANAPA yafunga tembo kola ya GPS katika Hifadhi ya Nyerere ili kudhibiti uharibifu wa mazao na kupunguza migogoro kati ya wanavijiji na wanyamapori. Na; Isidory Mtunda Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imefanikiwa kumfunga kifaa maalumu cha kufuatilia mienendo…
23 October 2025, 8:01 pm
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limesema limejipanga kikamilifu kuimarisha doria na usalama katika maeneo yote ya mkoa huo siku ya kupiga kura ya tarehe 29 Oktoba, ili kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika zoezi hilo muhimu…
September 18, 2025, 6:34 am
Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Omari Makame amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Msangano Chindi, daraja kubwa linalojengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa gharama ya takribani shilingi bilioni 2.99. Daraja…
15 September 2025, 6:29 pm
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji Babati CPA. Shaaban Mpendu amekabidhi vishikwambi kwa wataalam wa mifugo na kuwaasa kutunza na kutumia vishikwambi hivyo kwa malengo yaliyokusudiwa. Na Mzidalfa Zaid Amesema vishikwambi hivyo vimetolewa na serikali kupitia wizara ya mifugo na uvuvi,…
11 September 2025, 6:05 pm
Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuhutubia wananchi wa Hai, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Hai Muhamed Msalu ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi. Na Elizabeth Noel & Henry keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameombwa kujitokeza kwa…
September 10, 2025, 10:04 pm
“Watanzania angaliyeni mataifa mengine nilipata nafasi ya kwenda Sudan kwenye ukaguzi unaona namna wananchi wanavyohangaika hadi watoto wadogo wanajuwa namna ya kuomba msaada pia nilienda Congo na kwenyewe niliona namna watu wanavyoteseka kuitafta amani nikawa nawaza Watanzania wangekuwa wanapata nafasi…
6 September 2025, 7:54 pm
Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Kagera kinaendelea na kampeni za kusaka udiwani ubunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maeneo mbalimbali wakiahidi miradi ya maendeleo ikiwa wananchi wataendelea kukichagua Theophilida Felician Bukoba. Wafanya biashara wadogo kando ya…
3 September 2025, 7:08 pm
Na Junaina Rajabu. Jeshi la Polisi mkoa wa Kaskazini Unguja limejipanga kikamilifu kuhakikisha usalama wa raia hasa katika kipindi cha kampeni, pamoja na kuimarisha usalama wa barabarani ili kupunguza ajali zinazoweza kuepukika.Jeshi la Polisi limesisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa…
30 August 2025, 8:38 pm
Saulo mwenye elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya usimamizi wa mazingira chuo kikuu cha kilimo Sokoine na shahada ya uzamili ya Sayansi ya afya ya jamii Muhimbili ameahidi kutumia elimu na uzoefu wake kuleta maendeleo ya wananchi wa…