Nuru FM

Habari za Kitaifa

27 April 2024, 10:37 am

TANROAD waweka kambi kutengeneza barabara ya Moro-Iringa

Licha ya mvua kuendelea kunyesha na kuharibu miundombinu ya barabara Serikali imeendelea kuhakikisha miundombinu hiyo inaboreshwa. Na Aisha Malima Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya…

18 April 2024, 11:32 am

Msigwa achukuliwa fomu kugombea kanda ya Nyasa

Wanawake wa Chadema Mkoa wa Iringa waliamua kwenda Jijini Mbeya kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa wakitaka agombee uenyekiti Kanda ya Nyasa. Na Mwandishi wetu. Mgombea wa nafasi ya uenyekiti Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekabidhiwa fomu ya kuwania nafasi hiyo…

28 March 2024, 9:45 pm

CAG abaini kitu mita za Tanesco

Ripoti ya CAG imebaini kuwa mita zaidi ya 100,000 kati ya mita 602,266 zilibadilishwa kabla ya kipindi cha uhai wa matumizi yake kuisha. Na Mwandishi wetu RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa…

26 March 2024, 10:02 am

CCM Iringa: Rais Samia ametoa uhuru wa kidemokrasia

Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeimarisha demokrasia kwa vyama vya siasa. Na mwandishi wetu Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimesema Rais Dr Samia suluhu Hassan ametoa uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote. Akizungumza…

7 March 2024, 10:09 am

Wanahabari wapewa mafunzo ya radio portal

Mafunzo ya kuwajengea uwezo wanahabari ili waweze kuandaa maudhui bora mtandaoni hasa kupitia radio portal. Na Hafidh Ally Waandishi wa habari kutoka radio jamii zilizopo chini ya mtandao wa TADIO wamepewa mafunzo ya namna ya kuchapisha na kutuma maudhui kupitia…

3 March 2024, 8:00 pm

Dkt. Mwinyi amkushukuru Rais Samia msiba wa Mwinyi

Na Mwandishi wetu Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa bega kwa bega tangu Rais wa awamu ya pili, hayati Ali Hassan Mwinyi alipoanza kuugua mwezi Novemba na kupelekwa Uingereza kwa matibabu. Rais…

29 February 2024, 9:26 pm

Rais Samia atangaza kifo cha Mwinyi

Na Mwandishi wetu. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari, 2024 saa 11:30 jioni katika hospitaliya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais wa…