Nuru FM

Habari za Kitaifa

29 February 2024, 9:26 pm

Rais Samia atangaza kifo cha Mwinyi

Na Mwandishi wetu. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari, 2024 saa 11:30 jioni katika hospitaliya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais wa…

27 February 2024, 9:36 pm

Serikali kudhibiti mfumko wa bei

Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mfumko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2023 ulifikia wastani wa asilimia 3.2, kiwango ambacho kipo ndani ya lengo la kati ya asilimia…

22 February 2024, 7:46 pm

PSSSF yapewa siku 100 kukamilisha ujenzi kiwanda cha ngozi

Na Mwandishi wetu KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa siku 100 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Wafanyakazi wa Umma (PSSSF)  Abdul-Razaq Badru kuhakikisha awamu ya…

22 February 2024, 7:41 pm

Serikali kuingiza Tani 300,000 za sukari

Na Mwandishi Wetu. WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa mwaka huu Serikali itaingiza nchini zaidi ya tani 300,000 za sukari ili kukabilana na upungufu uliopo. Amesema hadi kufikia Machi 15, 2024, tani 60,000 za sukari zitakuwa zimeingizwa nchini na…

20 April 2022, 9:37 am

Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Mvomero Asimamishwa Kazi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Bw.Hassan Njama ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kulingana na taarifa hii hapa chini;

20 April 2022, 9:32 am

Watu Sita Wafariki Dunia Katika Ajali Mkoani Arusha

Watu sita (06) wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyo husisha gari Toyota Noah kugongana na lori aina ya scania katika eneo la ALKATANI kata ya Sepeko tarafa ya Kisongo wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha katika  barabara…

20 April 2022, 7:37 am

Polisi kuchunguza kifo cha Padri Kangwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio la kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis Kangwa aliyekutwa ndani ya tenki la maji akielea. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya…

20 April 2022, 7:29 am

Tuzo za Waandishi wa habari Nchini kutolewa Mei 3

Wanahabari wa Tanzania wanatarajia kupata tuzo kwa makundi tofauti katika tasnia hiyo ikiwa ni katika kuenzi na kutambua umuhimu wao katika kuleta maendeleo ya nchi kitaifa na kimataifa. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Rodney Thadeus…