Nuru FM

Habari za Kitaifa

5 April 2022, 9:08 am

Utafiti wa Gesi ya Heliam kuanza Tanzania

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshuhudia utiaji Saini Mkataba wa Utafiti wa Gesi ya Heliam kati ya Kampuni ya Noble Helium Limited kupitia Kampuni yake Tanzu ya Rocket Tanzania Limited na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa…

5 April 2022, 8:20 am

Shilingi bilioni 93.1 zatumika kwenye miradi ya mendeleo Iringa

Sh93.1 bilioni zimetumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iringa ikiwemo ujenzi wa barabara ya Kihesa Kilolo – Igumbilo itakayosaidia kupunguza msongamano wa magari mjini. Kwa sasa magari yote yanapita katikati ya mji na kusababisha msongamano mkubwa kutokana na ukosefu…

4 April 2022, 4:51 pm

Wakamatwa kwa tuhuma za kukata vyuma Daraja la Tanzanite

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kujaribu kuharibu miundombinu ya Daraja la Tanzanite. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa…

4 April 2022, 4:47 pm

Vikao Vya Bunge Kurushwa Live

Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc amesema vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa moja kwa moja kutoka Bungeni katika vipindi vyote vya bunge. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Nenelwa amesema baada ya…

31 March 2022, 4:55 pm

Kinana kumrithi Mangula

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM iliyokaa leo Machi 31, 2022 mkoani Dodoma imepitisha kwa kauli moja jina la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana kuwa Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, baada ya aliyekuwa…

31 March 2022, 4:50 pm

Membe arudishiwa kadi ya uanachama CCM

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kilichokitana leo Machi 31 mkoani Dodoma kimemsamehe alieyewahi kuwa waziri wa Mambo ya nje Benard Membe na kumrejeshea uanachama. Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema, msamaha…

29 March 2022, 4:08 pm

Serikali yafuta tozo 42 zao la Kahawa-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 tu ambazo itakuwa ni jumla ya Shilingi 267 kwa kila kilo…