Nuru FM

Habari za Kitaifa

29 March 2022, 4:01 pm

Serikali Yaleta Mfumo Mpya Kwa Mashirika, Viwanda Vilivyobinafsishwa

SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina inakamilisha mfumo rahisi wa kupokea na kutunza kumbukumbu za Mashirika ya Umma na Viwanda vilivyobinafsishwa unaoitwa Ubinafsishaji Information System ili kuweza kufuatilia mafanikio na changamoto za mashirika na viwanda hivyo. Hayo yamesemwa na…

28 March 2022, 5:37 pm

Profesa Ngowi afariki dunia ajalini

Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo alilokuwa anasafiria kwenda mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali…

28 March 2022, 5:34 pm

Tanzania, Liechtenstein Kuwekeza Katika Kilimo Hai

Tanzania na Liechtenstein zimekubaliana kuweka mpango mkakati wa kuwekeza katika kilimo hai na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo katika mikoa ya Morogogo na Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema…

26 March 2022, 7:34 am

Aucho Kamili Kuivaa Azam Fc

UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa…

26 March 2022, 6:57 am

IGP Sirro atoa maagizo kwa wakuu wa upelelezi mikoa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowasilishwa na wananchi hasa kuhusiana na makosa ya uhalifu kwa njia ya mtandao unaotekelezwa na baadhi ya watu…

26 March 2022, 6:54 am

Machi 28, 2022 wapangaji wanunuzi kuhamia

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) imefanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 23 mwaka huu wakati wa uzinduzi wa nyumba za makazi za Magomeni Kota juu ya wakazi hao kununua nyumba hizo kwa utaratibu wa mpangaji- mnunuzi.…

25 March 2022, 9:16 am

Waogeleaji 100 Kuwania Medali,Vikombe Za Klabu Bingwa Tanzania

Jumla ya waogeleaji 100 kuanzia Jumamosi Machi 26  watachuana kuwania medali na vikombe  katika mashindano ya klabu bingwa ya mchezo wa kuogelea yaliyopangwa kufanyika kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Masaki jijini Dar es Salaam. Waogeleaji…