Mpanda FM
Mpanda FM
21 February 2026, 9:36 am
” Tumetoa sadaka ya ftari kwa watu wapatao 500 lengo ni kusaidia watu wenye hali ngumu na huu ni utaratibu wetu ambao huwa tunaufanya kila baada ya muda hata ikiwa sio wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani” Na Juma…
30 January 2026, 11:40 am
Na Nyangusi Olesang’ida Katika jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na uhaba wa maji, taasisi ya Vijana Assembly imezindua mradi mkubwa wa kugawa matangi ya maji kwa wananchi wa wilaya ya Monduli, mradi unaolenga kurahisisha upatikanaji wa maji ya…
26/01/2026, 16:52
Vilevile, Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake unaendelea kutoa mikopo kwa riba nafuu ya asilimia 4. Kupitia TAMISEMI, vikundi zaidi ya 6,000 vimenufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 33. Na…
22 December 2025, 09:47
Jamii na wadau mbalimbali mkoani Kigoma wameaswa kujitokeza na kuwasaidia watoto yatima na wenye uhitaji ili nao waweze kujiona wanathaminiwa na jamii inayowazunguka. Na Tresiphol Odace Kituo cha tiba mbadala cha Lupimo Sanitarian Clinic kimetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa…
12/12/2025, 19:50
Baadhi ya wananchi mkoani Kigoma wameeleza ugumu wanaopitia katika swala la kutoa taarifa za maswala ya ukatili wa kijinsia wakihofia usalama wao baada ya kutoa taarifa hizo. Na; Irene Charles Katibu tawala mkoa wa Kigoma Ndg. Hassan Rugwa amesema viongozi…
10/12/2025, 15:36
Picha ni soko la wazi la Machinga Complex jijini Dodoma. Picha na Dodoma FM. Hali ya ulinzi na usalama imeendelea kuimarishwa na vyombo vya usalama, huku wafanyabiashara wakijitokeza na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Na Lilian Leopold. Wafanyabiashara wa…
8 December 2025, 16:23
Wito umetolewa kwa jamii kuendelea kukemea vitendo vya ukatilii ambavyo vimekuwa vikifanyika kwa jamii Na Prisca Kizeba Wanawake Katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameaswa kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili unaoendela katika jamii Hayo yamesemwa na Afisa Ustawi…
1 December 2025, 12:21
Wadau mbalimbali Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kuendelea kujitokeza na kuwasaidia watoto wenye uhitaji Na Hagai Ruyagila Umoja wa Kikundi cha Watendaji wa Serikali za Mitaa (MEOS) cha Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma kimetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa…
27/11/2025, 11:24
Kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 Dunia hufanya kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia lengo likiwa ni kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake na watoto ambao wamekua wahanga wakubwa wa kufanyiwa ukatili wa kijinsia.…
26/11/2025, 12:24
Kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, wakulima wadogo Mkoa wa Manyara wametakiwa kujitokeza katika Madawati ya kisheria ili kupeleka changamoto za ukatili wanazo kutananazo. Na Emmy Peter Hayo yamesemwa leo na Mhandisi Agrey Mahole ambae amemuwakilisha mkuu wa…