Mpanda FM

ULINZI

21 April 2024, 2:09 pm

Mbunge Nsimbo akabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko

“Wananchi wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mvua ambazo tayari zimeonyesha kuwa na athari ya mafuriko katika jamii” Na Ben Gadau -Katavi Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe amekabidhi msaada kwa wahanga wa mafuriko katika vijiji vya kaburonge A…

16 April 2024, 12:12 am

Mafuriko yazitenganisha Mpanda, halmashauri ya Nsimbo

‘Kutopitika kwa barabara hii kutasababisha wanafunzi washindwe kwenda shule na hata wananchi watashindwa kuzifikia huduma muhimu kutokana na kutenganishwa kwa barabara hiyo” Na Lilian Vicent Katavi Barabara inayounganisha Manispaa ya Mpanda na  Halmashauri ya Nsimbo Imekatika kutokana na Mvua kubwa…

14 April 2024, 2:18 pm

DC Mpanda aagiza kufanyika tathmini maafa ya mafuriko

Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezingirwa na Maji katika Kata ya Misunkumilo .Picha na Restuta Nyondo “Baada ya kupata taarifa amefika eneo la tukio na kuanza kuchukua hatua za awali ili kuwanusuru wananchi “ Na Betold Chove-Katavi Mkuu wa wilaya Ya…

12 April 2024, 8:55 pm

Watoto waangukiwa na ukuta Katavi, mmoja afariki

Nyumba ambayo ukuta wake umeanguka na kuwaangukia Watoto Wawili ambapo Mmoja kati yao amefariki .Picha na Deus Daud “Baada ya Mvua Kunyesha na Maji kuwa mengi  yamezunguka  Nyumba na kusababisha kuanguka kwa Ukuta wa Nyumba hiyo“ Na Lilian Vicent -Katavi…

11 April 2024, 12:36 am

Ulinzi, usalama waendelea kuimarishwa Katavi

“Baraza kuu  la Waislamu    wanaupongeza uongozi wa   Mkuu wa  Mkoa kwa kuhakikisha hali ya utulivu inaimarika“ Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi wa mkoa wa Katavi Wamehakikishiwa usalama wakati wa kufanya shughuli za kijamii na kiuchumi kwa kuwa jeshi la polisi lipo…

4 April 2024, 4:28 pm

Mwanaume akutwa amenyongwa na mwili wake kutupwa Katavi

Picha na Mtandao “Baada ya polisi kuuchukua Mwili wa Marehemu kikosi cha ulinzi na usalama kilirudi tena kufanya Misako ya Watu wanaokunywa Pombe Saa za Kazi“ Na Samwel Mbugi-Katavi Mtu mmoja anaekadiriwa kuwa na  Umri kati ya Miaka 40-45 amekutwa…

22 March 2024, 2:24 pm

Zaidi ya Vitambulisho Elfu 64 vya NIDA Vyaletwa Mpanda

“Wananchi amesema vitambulisho hivyo vitawasaidia kwani vimewaondoa hofu ya kukosa huduma muhimu ambazo zinaambatana na vitambulisho vya taifa kama vile kufungua akaunti za Benk“ Picha na Samweli Mbugi Na Samweli Mbugi-katavi Wananchi wa kata ya Mwamkulu Wilaya ya Mpanda mkoani…

20 March 2024, 4:02 pm

Mpanda, Vibaka Waibuka Mpanda Girls

“Mwenyekiti wa mtaa wa Mtemi Beda Edisi Kazwika amekiri kupokea tarifa za uwepo wa matukio ya uhalifu katika eneo hilo na kuwahakikishia hatua za usalama zinachukuliwa kwa wananchi wanaopita katika eneo hilo” Picha na mtandao Na Rachel Ezekia-katavi Wananchi wa…

15 March 2024, 3:18 pm

KATAVI,Waandishi Tumieni Kalamu kwa Weledi

“Wandishi wa habari Mkoani Katavi wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia miiko na maadili ili kuepusha sintofahamu kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025″. Picha na Ben Gadau Na Ben Gadau-katavi Wandishi wa habari Mkoani Katavi wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia miiko…