Mpanda FM

SIASA

4 February 2026, 2:14 pm

Wiki ya sheria yatoa wito wa ushirikiano kwa mahakama

Wananchi wilaya ya Hai wamehimizwa kushirikiana na Mahakama kwa kufuata sheria na taratibu, jambo litakalosaidia kuhakikisha haki, usawa, amani na maendeleo ya jamii,Maadhimisho ya wiki ya sheria yameangazia umuhimu wa mahakama kama muhimili huru wa dola unaotoa haki kwa usawa,…

2 February 2026, 6:59 pm

Diwani alipia matibabu kuadhimisha miaka 49 ya CCM Hai

Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi, kata ya Masama Kati imepanda miti katika kituo cha Afya Masama kati pamoja na kutembelea jengo la wamama wajawazito na kuwalipia gharama za matibabu. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katika kuadhimisha miaka 49…

Kabanga yawaita wananchi Kasulu kupata huduma za kibingwa

27/01/2026, 02:15

Kabanga yawaita wananchi Kasulu kupata huduma za kibingwa

Wananchi waeleza furaha ya huduma za madaktari katika hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo wilayani Kasulu na kupongeza uongozi kwa kuendelea kuwaborishea huduma za afya. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewaomba wananchi kujitokeza…

January 7, 2026, 7:44 pm

Serikali yajipanga kupunguza upotevu wa maji Bunda

”Kuna sababu nyingi za upotevu wa maji ikiwemo miundombinu kuwa chakavu, uchepushaji wa maji mita zinazotumika kwa sasa na matumizi yasiyozingatia mahitaji halisi” Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Andrea Mathew Na Amos Marwa Serikali imejipanga kupunguza tatizo la upotevu…

28 November 2025, 5:15 pm

Wananchi wa Hai wakumbushwa nafasi ya lishe bora

Siku ya Lishe Kitaifa huadhimishwa kila mwaka nchini Tanzania ili kukumbusha dhana ya haki ya kupata chakula bora, kupambana na udumavu, na kuhimiza uwekezaji katika afya dhamira inayokwenda sambamba na mpango wa taifa wa kuboresha lishe ulioanzishwa miaka kadhaa iliyopita.…

13/11/2025, 20:51

Rais wa Zanzibar ataja mawaziri 16

“Mawaziri na manaibu waziri nilioteua hakikisheni mnatekeleza majukumu yanu kwa uwajibikaji, uadilifu na kasi ya maendeleo, ili kutimiza matarajio ya wananchi wa Zanzibar” Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza…