Mpanda FM

SIASA

28 November 2025, 5:15 pm

Wananchi wa Hai wakumbushwa nafasi ya lishe bora

Siku ya Lishe Kitaifa huadhimishwa kila mwaka nchini Tanzania ili kukumbusha dhana ya haki ya kupata chakula bora, kupambana na udumavu, na kuhimiza uwekezaji katika afya dhamira inayokwenda sambamba na mpango wa taifa wa kuboresha lishe ulioanzishwa miaka kadhaa iliyopita.…

13 November 2025, 8:51 pm

Rais wa Zanzibar ataja mawaziri 16

“Mawaziri na manaibu waziri nilioteua hakikisheni mnatekeleza majukumu yanu kwa uwajibikaji, uadilifu na kasi ya maendeleo, ili kutimiza matarajio ya wananchi wa Zanzibar” Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza…

18 October 2025, 11:38 pm

ZEC yaokoa zaidi ya milioni 300 katika uchapaji wa karatasi za kura

Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabiti Idarous Faina, amesema jumla ya shilingi milioni 903,327,300 zimetumika katika uchapaji wa karatasi za kura za Urais wa Zanzibar, Uwakilishi na Udiwani ambazo zitatumika katika Uchaguzi Mkuu ujao. Akizungumza…

18 October 2025, 5:49 pm

Samia aahidi kuimarisha miundombinu Katavi

“kama watampa ridhaa ya kuendelea kuiongoza nchi atahakikisha mkoa wa Katavi unapata kipaumbele katika ujenzi wa barabara na madaraja ili kuunganisha mkoa huo na maeneo jirani ya ndani na nje ya nchi.” Na Restuta Nyondo Mgombea urais wa Jamhuri ya…

October 15, 2025, 9:44 am

Wakulima wapewa mbinu bora za uzalishaji kahawa Songwe

Na Anord Kimbulu, Songwe Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza kunufaika na mafunzo ya kitaalamu pamoja na…