Mpanda FM
Mpanda FM
19 March 2026, 5:22 pm
Juhudi za kulinda vyanzo vya maji zimeendelea kupewa kipaumbele wilayani Hai, huku viongozi wakisisitiza ushirikishwaji wa wananchi ili kudumisha upatikanaji wa maji safi na salama,Mafanikio ya Bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe yamepongezwa kwa kung’ara kitaifa, wakati hatua za kudhibiti uharibifu…
17 March 2026, 10:24
Siku chache baada ya ajali ya boti iliyosababisha vifo vya watumishi wa idara ya afya wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, baadhi ya viongozi wa dini na waumini wa kanisa la Anglikana wamesema maisha ya binadamu hapa duniani ni muda na…
13 March 2026, 14:36
Watumishi wa afya 6 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamefariki baada ya kupinduka kwa boti waliyokuwa wakiitumia kwenda kusambaza dawa katika katika eneo la Kagunga Wilaya ya Kigoma. Jumla ya watu sita wamefariki na wengine 9 wameokolewa kufuatia ajari…
13 March 2026, 12:45 am
Wananchi mkoani Kilimanjaro wameshiriki zoezi la Samia Ardhi Kliniki lililoendeshwa kwa wiki nzima mkoani humo, ambapo wamepatiwa elimu kuhusu matumizi bora ya ardhi, viwanja vimepimwa, kurasimishwa na wananchi kukabidhiwa hati miliki Na Henry Keto, Siha-Kilimanjaro Wananchi mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kwa…
12 March 2026, 1:05 pm
Wananchi wa ubalozi wa Msasani kitongoji cha Ipyana wilayani kyela wamehamasishana kulima barabara korofi kipindi hiki cha Mvua za masika na kupelekea kukosekana kwa mawasiliano kati ya ubalozi wao na balozi zingine. Na Masud Maulid Wananchi wa ubalozi wa msasani…
11 March 2026, 11:53 am
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kimkoa katika mkoa wa Kilimanjaro yametumika kuhimiza usawa wa haki na fursa kwa wanawake na wasichana ili kuharakisha maendeleo ya jamii. Na Salma Mgosso Hai-Kilimanjaro. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema kaulimbiu…
5 March 2026, 6:30 pm
GGML Mentorship program ilianzishwa mwaka 2020 ikiwa na lengo la kumsaidia msichana kutimiza ndoto zake kitaaluma sambamba na kumjengea uwezo wa kujiamini. Na: Ester Mabula Jumla ya shule sita za sekondari ambazo ni Nyalwanzaja, Kamena, Kasota, Bugando, Bugurula na Butundwe…
4 March 2026, 1:39 pm
Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yanayotarajiwa kufanyika machi 9 2026 katika viwanja vya shule ya sekondari Mailisita. Na Salma Mgosso Hai-Kilimanjaro Mratibu wa Maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani wilaya…
3 March 2026, 3:39 pm
Pichani ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya siku ya wanawake duniani wilaya ya Hai Andogwitse Ndelwa(picha na Salma Mgosso) Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka machi 8 kote duniani,wilaya ya Hai imejipanga…
25 February 2026, 12:15 pm
“Naamini baada ya mafunzo haya mtaendelea kuwa na utendaji wenye tija na kuzingatia miiko ya utumishi wa UMMA kwa kujiepusha na vitendo vyenye kujenga taswira mbaya ya Serikali kwenye Jamii” -Mkurugenzi Yefred Myenzi Na: Ester Mabula Jumla ya watumishi 209…